Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Ndio sioKumbe sio lako
Langu
Ndio sioKumbe sio lako
UliwezajeIlikuwa mwaka 1998
Sichangii mpaka uniombe msamaha,kuna uzi wangu ulinijibu vibaya nikadhani mtu mzima mwenzangu kumbe mwananguUliwezaje
Ww una kihelehele sana 😂😂😂mara yangu ya kwanza kuendesha gari niligonga...ile gari ilikuwa eicher tani 10....niliikuta imepaki dereva ni rafiki yangu funguo aliziacha...sasa nikajidai fundi nikaingia kwenye ile gari nikiwa na principle zangu kichwa za kuhadithiana...sasa nikawa nimekanyaga clutch lakini bahati haikuwa yangu kwani ile gari clutch yake ilikuwa ngumu sana hivyo mimi bila kujua nikajua kuwa teyari nimeshaikanya kumbe nilitakiwa kuikanyaga ile clutch hadi mwisho....
baada ya kujiona nimeikanyaga ile clucth kumbe nimeikanyaga nusu, nikawasha gari, ikawaka huku inatembea, sasa jasho likaanza kunitoka kwani kwa hadithi nilizo wahi kusimu liwa ni kuwa ukikanyaga clutch harafu unawasha gari kisha unaweka gia then unakanyaga mafuta na kuachia clutch kidogo kidogo, pale hali ilikuwa tofauti gari ilianza kutembea kuelekea mbele pale palikuwa na kijitelemshi kidogo na gari ilikuwa na mzigo. mbele kama mita 5 hivi palikuwa na eicher nyingine zile ndogo za tani 3.5...nikawana na hangaika kuweka free gari ili nikanyage break jamani ushamba huu acheni tuu {priciple yangu kichwani ilikuwa ni ili nikanyage break lazima gari iwe free....} kumbe hiyo principle ilikuwa ya uonga... hatimae nikaibamiza hiyo eicha uso kwa uso.
namshukuru Mungu sikufa na wala sikuvunja zile windmirrow sijui kama ninge weza kulipa kwa uharibifu nilio ufanya siku ile ilinitoka 600k...kesho yake nikaamua kwenda veta Tanga kusomea uderva rasmi...
Sorry baba anguSichangii mpaka uniombe msamaha,kuna uzi wangu ulinijibu vibaya nikadhani mtu mzima mwenzangu kumbe mwanangu
Dah nimerudia kusoma mara taty uku nacheka 😂😂mara yangu ya kwanza kuendesha gari niligonga...ile gari ilikuwa eicher tani 10....niliikuta imepaki dereva ni rafiki yangu funguo aliziacha...sasa nikajidai fundi nikaingia kwenye ile gari nikiwa na principle zangu kichwa za kuhadithiana...sasa nikawa nimekanyaga clutch lakini bahati haikuwa yangu kwani ile gari clutch yake ilikuwa ngumu sana hivyo mimi bila kujua nikajua kuwa teyari nimeshaikanya kumbe nilitakiwa kuikanyaga ile clutch hadi mwisho....
baada ya kujiona nimeikanyaga ile clucth kumbe nimeikanyaga nusu, nikawasha gari, ikawaka huku inatembea, sasa jasho likaanza kunitoka kwani kwa hadithi nilizo wahi kusimu liwa ni kuwa ukikanyaga clutch harafu unawasha gari kisha unaweka gia then unakanyaga mafuta na kuachia clutch kidogo kidogo, pale hali ilikuwa tofauti gari ilianza kutembea kuelekea mbele pale palikuwa na kijitelemshi kidogo na gari ilikuwa na mzigo. mbele kama mita 5 hivi palikuwa na eicher nyingine zile ndogo za tani 3.5...nikawana na hangaika kuweka free gari ili nikanyage break jamani ushamba huu acheni tuu {priciple yangu kichwani ilikuwa ni ili nikanyage break lazima gari iwe free....} kumbe hiyo principle ilikuwa ya uonga... hatimae nikaibamiza hiyo eicha uso kwa uso.
namshukuru Mungu sikufa na wala sikuvunja zile windmirrow sijui kama ninge weza kulipa kwa uharibifu nilio ufanya siku ile ilinitoka 600k...kesho yake nikaamua kwenda veta Tanga kusomea uderva rasmi...
Kwangu ngumu sana kuikumbukaHello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa barabarani wakat jf member wananitegemea hapa.
Naona wakati wa kurudi nitaita mshikaji anisaidie nirudishe gari la watu, nimepewa mwenyewe kaenda UK kwa muda wa miezi mitatu nisije gongesha Vanguard ya watu nikakosa cha kulipa au wazee mnasemamaje?
Wewe ilikuwaje siku yako ya kwaza kutembea njia kuu hizi za Dar?
Duh nenda veta ase hili gari linanitoa jasho sana hapa nimetoka njee naliangalia mpaka nataman kutoroka hapaAmbao tuna ndoto za kujifunza kuendesha inakuaje
Ww una kihelehele sana 😂😂😂
Niko mbali kikubwa jiamini tu hata morogoro unaweza kwenda,mimi gari sikufundishea na mtu na ilikuwa manual sii automatic gear,jenga confidence,relax usitumie nguvu wala usipanicmdukuzi baba angu embu sema kitu au uje unisaidie ili gari kulitoa uku posta kabla ya saa kumi na moja
Ambao tuna ndoto za kujifunza kuendesha inakuaje
Hifainkabisaacha hiyo sasa wiki moja baada ya kutoka veta nikajidai teyari nimesha kuwa dereva kwani nilishapata leseni yangu ya mchongo, bwana nikaitwa kwenye interview moja kulikuwa na gari mpya tupu. na hata kwenye hiyo interview tulitestiwa na gari mpya... mimi nimeshazoea migari mibovu ile ya veta ukiendesha jinsi tairi linavyo zungunga unalisikilizia kwenye stering mikono.... na clutch pia nimezoea zile ambazo nilazima uilazimishe kuikanya utumia kanguvu kidogo....kumbe bwana nilikuwa mshamba kuna clutch nyingine haziitaji nguvu kukanya...yani ukigusisha mguu tu imo...nikama vile umekanyaga sponch la godoro...kwenye ile interview niliaibika sana...
nimefika kwenye gari nimekutana na kiyoyozi kikari ambacho sikuwahi kuzania kuwa kwenye gari panaweza kuwa na kiyoyozi kama hicho, ile gari haikuwa na muungurumo hata kidogo, gari ilikuwa imewashwa ila kutokana na kuwa nilikuwa mshamba wa magari nilivyoingia nikafanya kitendo tena cha kuiwasha...doh nikaumbuka mbona tena gari haiwaki...hali ya kuwa gari ipo on...ila haina muungurumo hata kidogo....kijasho kikaanza kunitoka....nikaamua kukanyaga clutch kisha nikaweka gia na 1. baadae nikakanyaga na mafuta. clutch ilikuwa nyepesi kama sponchi kilicho tokea niliondoka kwa mwendo kama wanaoondokaga nao wanaoendesha magari ya mashinda....yule jamaa alie kuwa ananifanyia test akatingisha kichwa...nikajua hapa nimesha boronga....akaniambia simama...hata kwenye break napo hali ikawa ile ile....nilikanyaga break kwa nguvu gari ikaslip...hadi abiria wengine wakajibamiza na interview ikaishia hapo.
Sasa mimi kaniambia nimkute shekilango sijui kuludisha gari nyuma wala kulipakiUtazoea tu aliyenifundisha alikuwaga na mtindo anakaa pembeni haongei chochote nikifanya makosa ananitizama tu tukirudi home ndiyo anatoa maelekezo.
Siku moja ilibaki tukunjane somo la balance unauliza hapa tunafanyaje anacheka tu Ila bro alinisaidia yule wiki tu nakimbia kama Michael Schumacher.
Asante babaNiko mbali kikubwa jiamini tu hata morogoro unaweza kwenda,mimi gari sikufundishea na mtu na ilikuwa manual sii automatic gear,jenga confidence,relax usitumie nguvu wala usipanic