Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #61
Ninge piga mtu aseBora dar, arusha bodaboda wangeshapita na side mirror
Ninge piga mtu aseBora dar, arusha bodaboda wangeshapita na side mirror
Utakuwa na shida kwenye psychomotor domainAcha hiyo sasa wiki moja baada ya kutoka veta nikajidai teyari nimeshakuwa dereva kwani nilishapata leseni yangu ya mchongo, bwana nikaitwa kwenye interview moja kulikuwa na gari mpya tupu.
Na hata kwenye hiyo interview tulitestiwa na gari mpya... mimi nimeshazoea migari mibovu ile ya veta ukiendesha jinsi tairi linavyozunguka unalisikilizia kwenye stering mikono.... na clutch pia nimezoea zile ambazo nilazima uilazimishe kuikanyaga utumie kanguvu kidogo....kumbe bwana nilikuwa mshamba kuna clutch nyingine haziitaji nguvu kukanya...yani ukigusisha mguu tu imo...ni kama vile umekanyaga sponch la godoro...kwenye ile interview niliaibika sana...
Nimefika kwenye gari nimekutana na kiyoyozi kikali ambacho sikuwahi kuzania kuwa kwenye gari panaweza kuwa na kiyoyozi kama hicho, ile gari haikuwa na muungurumo hata kidogo, gari ilikuwa imewashwa ila kutokana na kuwa nilikuwa mshamba wa magari nilivyoingia nikafanya kitendo tena cha kuiwasha...doh nikaumbuka mbona tena gari haiwaki...hali ya kuwa gari ipo on...ila haina muungurumo hata kidogo....kijasho kikaanza kunitoka....nikaamua kukanyaga clutch kisha nikaweka gia na 1. baadae nikakanyaga na mafuta. clutch ilikuwa nyepesi kama sponchi kilicho tokea niliondoka kwa mwendo kama wanaoondokaga nao wanaoendesha magari ya mashinda....yule jamaa alie kuwa ananifanyia test akatingisha kichwa...nikajua hapa nimesha boronga....akaniambia simama...hata kwenye break napo hali ikawa ile ile....nilikanyaga break kwa nguvu gari ikaslip...hadi abiria wengine wakajibamiza na interview ikaishia hapo.
Duh watoto wa matajiri mnatia hasara2012...Nilivunja saitimila ya kushoto wakati naitopa parking,mzee aligomba sana si unajua gari za kiinua mgongo...
baada ya week alikuja fundi kuirekebisha hapo nikafundishwa kuendesha rasmi..
Sitaki kukumbuka mimi round about zilinichanganya nikaelekea kusiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa barabarani wakat JF member wananitegemea hapa.
Naona wakati wa kurudi nitaita mshikaji anisaidie nirudishe gari la watu, nimepewa mwenyewe kaenda UK kwa muda wa miezi mitatu nisije gongesha Vanguard ya watu nikakosa cha kulipa au wazee mnasemamaje?
Wewe ilikuwaje siku yako ya kwaza kutembea njia kuu hizi za Dar?
Nyie ndio mnaomaliza watu wewe hujui kutumia chombo cha moto halafu unakitumia bila kuwa na mazowea ni hatari sana kwako na watumiaji wa bara bara.Hello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa barabarani wakat JF member wananitegemea hapa.
Naona wakati wa kurudi nitaita mshikaji anisaidie nirudishe gari la watu, nimepewa mwenyewe kaenda UK kwa muda wa miezi mitatu nisije gongesha Vanguard ya watu nikakosa cha kulipa au wazee mnasemamaje?
Wewe ilikuwaje siku yako ya kwaza kutembea njia kuu hizi za Dar?
Ukaendeshaje sasaNilinunua gari kabla sijajua kuendesha. Anko ndio alikuwa dalali akaendesha toka Dar mpaka nilipo Kuelekea home akaniambia anko nisaidie kumalizia safari 🤣🤣🤣
Naikimbuka sana 2013
Nilikuwa najua kipindi iko sikuwai endesha tenaNyie ndio mnaomaliza watu wewe hujui kutumia chombo cha moto halafu unakitumia bila kuwa na mazowea ni hatari sana kwako na watumiaji wa bara bara.
Ushauri wangu kajifunze kwanza ukishakua umeshaelewa kutumia chombo cha moto ndio uingie bara barani tena kwa uangalifu sana mpaka utakapo kuwa driver mwenye uzoefu
Nikamdanganya sina leseni na huku kuna trafik wanoko. Baadae nikamchana akanifundisha kabla ya kurudi DarUkaendeshaje sasa
Duh waoga wenginilikakamaa mikono sana na jasho
nilikuwa natembea 20-30 speedDuh waoga wengi
Usivunjike moyo, jifunze kwanza kisha utaendesha kwa usalamaNilikuwa najua kipindi iko sikuwai endesha tena