Siku yako ya kwanza kuendesha gari ilikuwaje?

Siku yako ya kwanza kuendesha gari ilikuwaje?

Ilikua kupaki tu maskani mgeni kaja kaacha gari nje akanrushia fungua niingize gari ndani.. nikaona nikisema sijui ntajishushia nyota af mgeni mwenyewe mmaza flani hivi daah ilibaki kidogo tu ning'oe geti lote na ukuta wake
 
Nilikua naendeshea spidi 40 mwisho...Bagamoyo road yote hile mpaka posta n.k...watu walikuwa wanapiga honi mpaka basi..na hapo sijaweka hata learner...maana nilijifundisha tu youtube nakuuliza, halafu nikanunua gari, wiki nzima nipaki tu natumia usafiri wa umma...siku moja nikasema liwalo na liwe...huyoo...
 
Write your reply...nilikunywa kidogo kutia ujasiri..aloo niligonga gia kwenye taa nyekundu nikapita nashukulu mungu kulikuwa hamna gar upande wapili ..ilikuwa hilux jk nyerere port
 
Write your reply...nilikunywa kidogo kutia ujasiri..aloo niligonga gia kwenye taa nyekundu nikapita nashukulu mungu kulikuwa hamna gar upande wapili ..ilikuwa hilux jk nyerere port
Duh ongera nashukuru nimefika sinza nilikuwa na mtu ananiongoza pole pole
 
Nilikua naendeshea spidi 40 mwisho...Bagamoyo road yote hile mpaka posta n.k...watu walikuwa wanapiga honi mpaka basi..na hapo sijaweka hata learner...maana nilijifundisha tu youtube nakuuliza, halafu nikanunua gari, wiki nzima nipaki tu natumia usafiri wa umma...siku moja nikasema liwalo na liwe...huyoo...
Ata wapige oni usiwaze mzee
 
Ilikua kupaki tu maskani mgeni kaja kaacha gari nje akanrushia fungua niingize gari ndani.. nikaona nisema sijui ntajishushia nyota af mgeni mwenyewe mmaza foani hivi daah ilibaki kidogo tu ning'oe geti lote na ukuta wake
Www kwan ulishindwa sema sijui
 
Kuendesha gari ni hobby mm Sina hobby ya kuendesha gari...napenda kuendeshwa Zaid....

Mm nime mrithi mamaangu Mimi sio mtu wa pilika pilika maana hata mzee wangu alinunuaga gari kali tukiwa primary school by then.....

Ex. Girlfriend wangu na ndinga yake ni Moja ya WANAWAKE majasiri sana UMENIKUMBUSHA ROUTE ZA SLEEPWAY.....
Anaweza Tukapiga nae MAGIC MOMENTS na tukamaliza na anani drive safely home....

Mm mara zote licha ya kujua kuendesha gari na pikipiki ila Huwa sinaga hobby navyo....mm hupenda kuendeshwa Zaid kuliko kuendesha....
Ina itaji UZOEFU kuendesha kariakoo na posta😊
 
Ongera boss
 
Katika kitu najua kuendesha ni pikipiki lakini kamwe nilijiapiza siendeshi pikipiki dar hata mara moja. Nikiwa mkoani huko naendesha ila kwa dar sijawahi. Yani vile wanavyokatiza katikati ya magari na kuchomekea mimi nahisi ntajikuta chini kwenye matairi.
Kuendeshwa pia, ila kuendesha no
Mkuu sio Siri bado sijui vizuri ila naendesha sio kama mwanzo ambapo nilikuwa siwezi kabisa kuondoka nayo.

Shida kubwa ilikuwa gia ipi niondoke nayo na ipi niitumie wapi na hili bado linanipa shida mpaka sa hivi.

Ila hata nije kuwa mtaalam kama wewe kuendesha pikipiki mijini Hapana kwa kweli.

Pikipiki naendesha nikiwa huku Kwimba tu na MWISHO MAGU.
 
Siku ya kwanza kuingia barabarani pekeyangu, niligonga mataa, baada ya kutoka hapo kwa hofu na kutetemeka mita kama 30 nikagonga bodaboda na abiria, na huyo bodaboda akampamia bodaboda mwingine, aiseee nilisikitika sana ila wote walinisamehe. Nikaizira gari kama siku nne. Baada ya hapo ikawa muda wa kutoka kazini naanza kua na mawazo na kukosa raha, siku nyingine nasahau badala ya kukanyaga break nakanyaga mafuta. Baada ya wiki tatu nikawa nimezoea [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2572097
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliwahi kuzira pikipiki siku tatu naiangalia tuu.
 
Siku ya kwanza kuingia barabarani pekeyangu, niligonga mataa, baada ya kutoka hapo kwa hofu na kutetemeka mita kama 30 nikagonga bodaboda na abiria, na huyo bodaboda akampamia bodaboda mwingine, aiseee nilisikitika sana ila wote walinisamehe. Nikaizira gari kama siku nne. Baada ya hapo ikawa muda wa kutoka kazini naanza kua na mawazo na kukosa raha, siku nyingine nasahau badala ya kukanyaga break nakanyaga mafuta. Baada ya wiki tatu nikawa nimezoea 🤣 🤣 🤣
View attachment 2572097
Gari za kujifunzia ukubwani tena Dar es salaam
Ni balaa...
 
Acha hiyo sasa wiki moja baada ya kutoka veta nikajidai teyari nimeshakuwa dereva kwani nilishapata leseni yangu ya mchongo, bwana nikaitwa kwenye interview moja kulikuwa na gari mpya tupu.

Na hata kwenye hiyo interview tulitestiwa na gari mpya... mimi nimeshazoea migari mibovu ile ya veta ukiendesha jinsi tairi linavyozunguka unalisikilizia kwenye stering mikono.... na clutch pia nimezoea zile ambazo nilazima uilazimishe kuikanyaga utumie kanguvu kidogo....kumbe bwana nilikuwa mshamba kuna clutch nyingine haziitaji nguvu kukanya...yani ukigusisha mguu tu imo...ni kama vile umekanyaga sponch la godoro...kwenye ile interview niliaibika sana...

Nimefika kwenye gari nimekutana na kiyoyozi kikali ambacho sikuwahi kuzania kuwa kwenye gari panaweza kuwa na kiyoyozi kama hicho, ile gari haikuwa na muungurumo hata kidogo, gari ilikuwa imewashwa ila kutokana na kuwa nilikuwa mshamba wa magari nilivyoingia nikafanya kitendo tena cha kuiwasha...doh nikaumbuka mbona tena gari haiwaki...hali ya kuwa gari ipo on...ila haina muungurumo hata kidogo....kijasho kikaanza kunitoka....nikaamua kukanyaga clutch kisha nikaweka gia na 1. baadae nikakanyaga na mafuta. clutch ilikuwa nyepesi kama sponchi kilicho tokea niliondoka kwa mwendo kama wanaoondokaga nao wanaoendesha magari ya mashinda....yule jamaa alie kuwa ananifanyia test akatingisha kichwa...nikajua hapa nimesha boronga....akaniambia simama...hata kwenye break napo hali ikawa ile ile....nilikanyaga break kwa nguvu gari ikaslip...hadi abiria wengine wakajibamiza na interview ikaishia hapo.​
Pole sana ilikuwa gari gani hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom