Siku yako ya kwanza kumiliki chombo cha usafiri ilikuwaje?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.

Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.

Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.

Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.

Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
 
1000027380.jpg
 
Nilikuwa nabadilisha tu mitindo ya kupark,huku niko sitting room napiga vitu vyangu naicheki,halafu nimelipaki chini ya mti naona kama kwenye jua litaungua libabuke rangi...
 
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.

Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.

Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.

Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.

Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
Kalikuwa ni ka pikpik tu ka boxer wazee niliteseka sana nikipaki sehem macho yote ni kule nilipokapak mpka kuja kuzoea nilikuwa nishanyooka
 
Nilipata neema ya kununua ka pikipiki kapya basi nikaweka full tank, nilikuwa naishi chumba cha kupanga so usiku nikakaingiza humo na mda wote nipo kitandani nakacheki nikiwa kwenye net siamini kama na mimi namiliki usafiri uliosajiliwa tra baadae nilikuja kukauza sababu ya shida, maisha kupanda na kushuka
 
Haahaaa
 
Ulikuwa hujui kuendesha, ukakoswakoswa na daladala, ukarudi tena show room upewe dereva mzoefu, basi sawa
 
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.

Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.

Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.

Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.

Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
 
Attachments

  • 1646507258393.jpg
    1646507258393.jpg
    30.7 KB · Views: 23
NIli isahau pikipiki yangu...nikapanda daladala nimefika nyumbani nikafanya shughuri zangu kama kawaida...jioni rafiki yangu ambae niliahidiana nae aje kuichukua pikipiki...! Alikuja hapo ndio nikaikumbuka...!​
 
Back
Top Bottom