Siku yako ya kwanza kumiliki chombo cha usafiri ilikuwaje?

Siku yako ya kwanza kumiliki chombo cha usafiri ilikuwaje?

Siku niliyonunua Phoenix Mkulima yangu, mademu wa kijijini walikoma na mbwebwe zangu za kupiga misele.

1750410679491.png
 
NIli isahau pikipiki yangu...nikapanda daladala nimefika nyumbani nikafanya shughuri zangu kama kawaida...jioni rafiki yangu ambae niliahidiana nae aje kuichukua pikipiki...! Alikuja hapo ndio nikaikumbuka...!​
Dah sìku ya kwanza fulu wenge
 
Nili subiri saa 6 usiku nikatoa chuma nikazunguka mjini na sehemu mbali mbali hadi kulipo kucha nika rudi
 
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.

Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.

Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.

Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.

Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
UMASKINI MBAYA SANA SISI WENGINE MAGARI TUMEYAZOEA TANGIA TUNGALI WADOGO.. MFANO SISI TULINUNULIWA PIKIPIKI ZA KUCHEZEA MIMI NA MDOGO KUHUSU VYAKULA PIA HAKUNA MSOSI WA KUNIZUZUA/ KUTUZUZUA.

AFTER THIS NAJUA HATA WANAO UTAKAO WAZAA HAWATA ZUZUKA TENA NA GARI/ MAGARI 🤣😅

JAPO MIMI NIME RITHI TABIA NYINGI ZA MAMA UPOLE, MTULIVU, KUTOKUA NA MAKUU, UKIMYA, UOGA , UJASIRI,KUJIAMINI ILA SINA HOBBIES YA MAGARI KABISA NAI NJOI SANA KUENDESHWA ZAIDI YA MIMI KUENDESHA & VICE VERSA IS TRUE.
 
Hivi umiliki wa gari unahusiana na umaskini enhe?🤔
Ungezaliwa familia ambayo ungekuta magari yapo usinge pata muhaho wa aina hiyo.

Samahan brother kede ni mtazamo TU Mimi sikua excited na gari yangu ya kwanza sababu gari lilikuepo nyumbani tangia udogoni mwangu so sikupata muhaho wowote.

So,
watoto wako wakikua wakubwa chunguza akinunua gari angalia uone kama ata behave awkward Kama wewe hiyo ndio reality.

Ndio maana nikasema UMASKINI ni mbaya Sanaa Sanaa.

NB.
KWA SASA SIMILIKI GARI TENA KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WANGU MPAKA PANAPO MAJALIWA TENAA.
 
Back
Top Bottom