Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Nilikuwa nabadilisha tu mitindo ya kupark,huku niko sitting room napiga vitu vyangu naicheki,halafu nimelipaki chini ya mti naona kama kwenye jua litaungua libabuke rangi...Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.
Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.
Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.
Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.
Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
Kalikuwa ni ka pikpik tu ka boxer wazee niliteseka sana nikipaki sehem macho yote ni kule nilipokapak mpka kuja kuzoea nilikuwa nishanyookaKwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.
Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.
Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.
Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.
Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
TrueKipya kinyemi. After some time gari linalala nje wazi huna habari
HaahaaaNilipata neema ya kununua ka pikipiki kapya basi nikaweka full tank, nilikuwa naishi chumba cha kupanga so usiku nikakaingiza humo na mda wote nipo kitandani nakacheki nikiwa kwenye net siamini kama na mimi namiliki usafiri uliosajiliwa tra baadae nilikuja kukauza sababu ya shida, maisha kupanda na kushuka
Which portfolioI got no car right, but I own a good portfolio fact.
A collection of kenge maji and nusu albinoWhich portfolio
Na sisi tuliyo nunua ps tusemeje?Toyota Runx, aisee kulala nilishindwa.
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko.
Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala nikaona isiwe taabu nikarudi pale showroom wanipe dreva mzoefu akanipeleka hadi hom.
Pale hom mkoko nimepaki nje naona kama wananzengo wataondoka nao vile ikawa kila mara lazma nipandishe macho juu ya dirisha kuhakiki kama mkoko bado uko au la.
Ilipoingia usiku ikiwa balaa zaidi kuna wakati nikaingiwa na mawazo au nikalale umoumo ndani ya mkoko maana naona kama mahasidi watapita nao mkoko wangu mpya.
Usingizi ukapaa hadi kunakucha siamini kama sasa rasmi namm nimeingia kwenye listi ya wamiliki mikoko, nikahisi kama naota ikabidi niwe najifinyafinya kuhakiki kama ndo mm au la.
Fala sana we jamaaA collection of kenge maji and nusu albino
Kakakuona unaishi Ki GTANa sisi tuliyo nunua ps tusemeje?
Lucas Mwashambwa baada ya kutokwa na machozi ya furaha alipomaliza kutabiri raisi wa mpaka 2060.