Siku yako ya kwanza kumiliki chombo cha usafiri ilikuwaje?

Siku niliyonunua Phoenix Mkulima yangu, mademu wa kijijini walikoma na mbwebwe zangu za kupiga misele.

 
Haahaaa yani ni ivoivo kama uyo jamaa apo
 
NIli isahau pikipiki yangu...nikapanda daladala nimefika nyumbani nikafanya shughuri zangu kama kawaida...jioni rafiki yangu ambae niliahidiana nae aje kuichukua pikipiki...! Alikuja hapo ndio nikaikumbuka...!​
Dah sìku ya kwanza fulu wenge
 
Nili subiri saa 6 usiku nikatoa chuma nikazunguka mjini na sehemu mbali mbali hadi kulipo kucha nika rudi
 
UMASKINI MBAYA SANA SISI WENGINE MAGARI TUMEYAZOEA TANGIA TUNGALI WADOGO.. MFANO SISI TULINUNULIWA PIKIPIKI ZA KUCHEZEA MIMI NA MDOGO KUHUSU VYAKULA PIA HAKUNA MSOSI WA KUNIZUZUA/ KUTUZUZUA.

AFTER THIS NAJUA HATA WANAO UTAKAO WAZAA HAWATA ZUZUKA TENA NA GARI/ MAGARI 🤣😅

JAPO MIMI NIME RITHI TABIA NYINGI ZA MAMA UPOLE, MTULIVU, KUTOKUA NA MAKUU, UKIMYA, UOGA , UJASIRI,KUJIAMINI ILA SINA HOBBIES YA MAGARI KABISA NAI NJOI SANA KUENDESHWA ZAIDI YA MIMI KUENDESHA & VICE VERSA IS TRUE.
 
Hivi umiliki wa gari unahusiana na umaskini enhe?🤔
Ungezaliwa familia ambayo ungekuta magari yapo usinge pata muhaho wa aina hiyo.

Samahan brother kede ni mtazamo TU Mimi sikua excited na gari yangu ya kwanza sababu gari lilikuepo nyumbani tangia udogoni mwangu so sikupata muhaho wowote.

So,
watoto wako wakikua wakubwa chunguza akinunua gari angalia uone kama ata behave awkward Kama wewe hiyo ndio reality.

Ndio maana nikasema UMASKINI ni mbaya Sanaa Sanaa.

NB.
KWA SASA SIMILIKI GARI TENA KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WANGU MPAKA PANAPO MAJALIWA TENAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…