Siku za hatari kwa mwanamke

Kitabibu;
Inawezekana NDIYO kwa kutegemea na urefu wa mzunguko wake.

Mathalani kama mzunguko wake ni mrefu (siku 35) basi uwezekano wa kuwa katika siku za hatari mpaka January zipo.

Kimtaa;
'Ielewe mitaa, ielewe sanaa'
Hapo unapigwa Mkuu. Mwenzako hana nia ya kukupa ama la, kapanga kukitombesha kwingine.

Hata kama yupo siku za hatari, zipo njia za kutumia ili kujikinga na kupata ujauzito. Matumizi ya mipira (kondom) ama pullouts. Nyinginezo ni zile maarufu baina ya vijana, umezaji holela wa P2.
 
Mi nilikuaga mbishi kama wewe, nikadownload Flo kabisa.

Ila kama hamuaminiani issue ndogo ivo, uko mbele itakuaje.
Sasa hapo uaminifu unatokea wapi kakaaaa yani kuanzia tarehe 21 Decemba mpaka January!? January yenyewe hajaambiwa tarehe ngapi...mwanamke gani huyo ana ingia hatari siku zote hizo yaani 21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31 hizi ni siku 11 .... Mwanamke gani huyo anayeingia siku za hatari 11!?? .... Hapo haujui hiyo January kaambiwa no January ngapi... Bado tu unataka kumuanini huyo ndugu yake shetani!??
 
kaniambia desemba 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…