Siku za hatari kwa mwanamke

Siku za hatari kwa mwanamke

Sasa tatizo liko wapi? Kudeka tyuu.!!
Hapo ukute hata kwao hawakujui ila kupanga midinyo uko vizuri.!! Mxieeeeww 😏
 
Kipindi hichi cha sikukuu oda zimekuwa nyingi sana inatakiwa kucheza na akili zao hawa viumbe, hapo jaribu kumwambia nataka tutiane na ndom uone atasemaje
 
Mkuu hii duara ni ngumu sana kulifuata kwa wanawake wa sikuhizi.

•Sababu kuna kuna kundi la wanawake wengi sikuhizi aidha wanawahi sana Siku20-24 au wanachelewa sana Wanaenda mpaka siku 30,31,32,33,35....

•Kama wanatumia njia za asili inafaa kwanza jamaa ajue Demu wake yupo kundi lipi Normal, Anawahi au Anachelewa!

Labda mkuu didy muhenga utuambie Girfriend wako anaenda siku ngapi, Nitakusaidia kupiga hesabu rahisi! Za kujia siku hatari, Siku ya kupata mtoto wa kiume, kike n.k
me hata sielewagi
 
Back
Top Bottom