Mkuu hii duara ni ngumu sana kulifuata kwa wanawake wa sikuhizi.
•Sababu kuna kuna kundi la wanawake wengi sikuhizi aidha wanawahi sana Siku20-24 au wanachelewa sana Wanaenda mpaka siku 30,31,32,33,35....
•Kama wanatumia njia za asili inafaa kwanza jamaa ajue Demu wake yupo kundi lipi Normal, Anawahi au Anachelewa!
Labda mkuu
didy muhenga utuambie Girfriend wako anaenda siku ngapi, Nitakusaidia kupiga hesabu rahisi! Za kujia siku hatari, Siku ya kupata mtoto wa kiume, kike n.k