Siku zinavyozidi kuyoyoma ndio kauli ya Manara inapoonesha uhalisia, dogo Farhanjr amchana chana vibaya

Hapo ndipo nilipohitimisha kuwa huyu mzee ana matatizo ya akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasikia kahamishiwa ununio kutoka kule masaki alipopangishiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapajua vizuri ununio lakin
 
Sawa kabisa walioshika nafasi ya pili walishiriki CAF cup, je waliobeba ubingwa wa ligi kuu walikiwa wanashiriki michuano ipi ya CAF? Na je waliobeba ubingwa wa kombe la shirikisho na wao walikuwa walishiriki michuano ipi ya CAF?
Sielewi mantiki ya maswali yako. Mkipewaga vielelezo mnakimbia hata kusema asante kwa kunielimisha hamsemi, mnasubiri siku nyingine muanze kubisha tena. Fungua uzi huu utakusaidia. Post namba 76 na 80 zinaweza jibu maswali yako.
 
Kwa kuwa Haji naye yupo Yanga. Hana akili maana wenye akili ni wawili tu na yeye hakujitaja katika hao wawili.
 
Kabisa

Azam Confederation cup

Tunaita FA CUP
Kwa mantiki hiyo kombe la shirikisho linapaswa lichezwe na timu zinazobeba kombe shirikisho la katika nchi zao. Je ni sahihi au sahihi?
 
Unapajua vizuri ununio lakin
Nisipajue kwanini,tena napajua vizuri sana kuliko hata unavyopajua wewe????sasa unataka kupafananisha na masaki????

Ndio nyie wakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...au ndio unataka kuhamisha goli?maana umeshaanza kudivert,
 
Kwa kuwa Haji naye yupo Yanga. Hana akili maana wenye akili ni wawili tu na yeye hakujitaja katika hao wawili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sielewi mantiki ya maswali yako. Mkipewaga vielelezo mnakimbia hata kusema asante kwa kunielimisha hamsemi, mnasubiri siku nyingine muanze kubisha tena. Fungua uzi huu utakusaidia. Post namba 76 na 80 zinaweza jibu maswali yako.
Mimi napenda kuwa mjadala kuwa mpana ili kutoa funzo kwa kila mmoja. Sio kusema asante, hapa imeletwa hoja na hoja lazima iwe na maswali, majibu na mifano. Ni kawaida yangu kujadili na kuhoji vitu. Kama swali uwezi kulijibu unasema huwezi au lipotezee.
 
Mbona Historia ya Simba inaonyesha wazi ushiriki wa Simba kwenye Confederation na CAF cup na miaka ime ainishwa Sasa mna kwama wapi kuelewa?
 
Nisipajue kwanini,tena napajua vizuri sana kuliko hata unavyopajua wewe????sasa unataka kupafananisha na masaki????

Ndio nyie wakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...au ndio unataka kuhamisha goli?maana umeshaanza kudivert,
Kama unapajua ununio pabaya ???
 
Hivi hii stori ni kweli au?maana nasikia tu kuwa jamaa walikuwa wanacheza peku mara vitumbo wazi...au ndio maana wakaitwa GONGOWAZI????nipe elimu mkuu
 
Hivi hii stori ni kweli au?maana nasikia tu kuwa jamaa walikuwa wanacheza peku mara vitumbo wazi...au ndio maana wakaitwa GONGOWAZI????nipe elimu mkuu
Ni kweli walikuwa wanacheza matumbo wazi na viatu wamekuja kuvijua miaka ya baadaye baada ya kutanguliwa na Simba.

Ilikuwa ni Club iliyokuwa ina operate kienyeji sana kwa miaka hiyo.
 
Kama unapajua ununio pabaya ???
Nioneshe sehemu niliyosema ununio pabaya......!!!!!nakupa 10k sasa hivi,kikubwa huwezi fananisha ununio na masaki sawa?
nilimaanisha ni kushuka kwake hatua kwa hatua maana mwanzo alipangiwa mikocheni,akahamishiwa masaki na sasa amepelekwa ununio ,kwa hali inavyokwenda kuna dalili akapelekwa bagamoyo maana wanazidi kumsokomezea mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anajikuta yupo msata? Dishi linazidi kuyumba,maana wanajua domo lake na wanajitahidi kumnyamazisha asiongee sana maana hana weredi....
 
Ni kweli walikuwa wanacheza matumbo wazi na viatu wamekuja kuvijua miaka ya baadaye baada ya kutanguliwa na Simba.

Ilikuwa ni Club iliyokuwa ina operate kienyeji sana kwa miaka hiyo.
Duh.....

Kwahiyo asili ya jina GONGOWAZI ni hiyo kutovaa jezi wakati wa mechi????aiseeeeeehhhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Enyi mbumbumbu mnaopenda kujitututumua bila uelewa wa mambo Confederation cup/ kombe la shirikisho Lili anzishwa mwaka 2004.
Simba amecheza final ya Caf cup mwaka 1993 ivi hamuoni tofauti?
NDO HUA NAAMINI ILE KAULI YA EDENI RAGE NDO INGEKUWA KAULI MBIU YA SIMBA...

"WANASIMBA NI MBUMBUMBU" [emoji16]

Kama ni muundo basi Tanzania haijwahi kushiriki afcon...
Manake wakati Tanzania inaenda afcon muundo ulikuwa sio WA sasa na kuna nchi zilikuwa hazishiriki kama South Africa
 
Kama nia yako kweli ni kujifunza, badala ya kukujibu utakavyo halafu tuanze kubishana siku nzima, ni bora kukupa vielelezo kutoka vyanzo vya uhakika ujisomee mwenyewe.

Huu upotoshaji hauna tofauti na ule kabla ya debi ya mwisho wa kusema Simba alikuwa kibonde wa Yanga kwa miaka 3-4, halafu mkiambiwa katika mechi 9 za nyuma, Yanga alikuwa ameshinda 3 tu mnakimbia.

Nia yenu ni kudogosha mafanikio ya upande mmoja na si lingine.
 
Halafu kuna CAF CUP unaweza kuliita Kombe la Shirikisho kwa Kiswahili! CAF ni shirikisho na kombe ndio lao, mechi zilipigwa 64 hapa!Ndio maana ya CAF CUP ya 1993! Hapa fainali alicheza Mfalme wa Nyika SIMBA YA DAR ES SALAAM dhidi ya Stella Adjame ya Ivory Coast, hii ilikuwa inahusisha Washindi wa pili kwa kila ligi kwenye nchi husika pasi na shaka.[emoji818][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…