Siku zinavyozidi kuyoyoma ndio kauli ya Manara inapoonesha uhalisia, dogo Farhanjr amchana chana vibaya

Hii mada nilishawahi kuitolea ufafanuzi wa kina ila kuna watu kwa kuwa ukweli hauendani na wanachotaka watu waamini basi wanaendelea kupindisha. Yanga alishiriki hiyo CAF Cup mara mbili na mara zote alitolewa hatua ya kwanza, hilo hakuna anayesema.

Nadhani kitengo cha habari cha TFF kitoke usingizini kiwe kinatoa ufafanuzi kwenye mijadala hii ili kuepusha upotoshaji. Hizi taasisi za umma zinalala sana.

Wenyewe wanaogopa kuingilia ugomvi. Hawajui umuhimu wa kuisaidia jamii kuelewa taarifa sahihi.

Mpaka watajwe wao ndo wanaibuka.
 
Sawa kabisa walioshika nafasi ya pili walishiriki CAF cup, je waliobeba ubingwa wa ligi kuu walikiwa wanashiriki michuano ipi ya CAF? Na je waliobeba ubingwa wa kombe la shirikisho na wao walikuwa walishiriki michuano ipi ya CAF?

Umeusoma uzi huu au umeanza kuchangia tu.
 
Wenyewe wanaogopa kuingilia ugomvi. Hawajui umuhimu wa kuisaidia jamii kuelewa taarifa sahihi.

Mpaka watajwe wao ndo wanaibuka.
Yaani hizi mada zinaibukaga mara kwa mara, wanatakiwa wawe active kama sehemu ya wadau, wao wanadhani haiwahusu. Inashangaza sana.

Ndiyo maana social media account za taasisi za umma watu hawaingii kusoma post zao maana wanajitenga sana na mambo yanayoendelea katika jamii. Wamekaa kuripoti tu matukio.
 
Hii mada nilishawahi kuitolea ufafanuzi wa kina ila kuna watu kwa kuwa ukweli hauendani na wanachotaka watu waamini basi wanaendelea kupindisha. Yanga alishiriki hiyo CAF Cup mara mbili na mara zote alitolewa hatua ya kwanza, hilo hakuna anayesema.

Nadhani kitengo cha habari cha TFF kitoke usingizini kiwe kinatoa ufafanuzi kwenye mijadala hii ili kuepusha upotoshaji. Hizi taasisi za umma zinalala sana.
CC: TFF
 
Wewe ni nani pale CAF unaota ufafanizi?
 
Ukishajua kuwa Yanga ilikuwa ni timu iliyochelewa kuvaa viatu wakati wa mchezo huwezi kubabaika kujua nani alianza kupata mafanikio makubwa.

Unacheza peku halafu ufike nusu?

Mpira mbona utakuwa ni kitu cha kipuuzi sana.

Na Manara anaongea hivyo akijua Yanga wajinga wengi hivyo lazima atawachota tu.
Nyie ndio wale watoto mlisoma chekechea miaka 5
 
Ama hakika maendeleo ya teknolojia yametufanya tutoke zama hizo,najisikia vibaya mtu mzima aliyeaminiwa na taasisi kubwa akipotosha taarifa

Performance in CAF competitions

The highest success that Simba achieved was reaching the final of the CAF Cup in 1993, where they lost to Stella Club of Côte d'Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date. In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.

CAF Champions League: 11 appearances

2002 – First Round

2003 – Group stage (Top 8)

2004 – Preliminary Round

2005 – First Round

2008 – First Round

2011 – Special play-off for Group stage

2013 – Preliminary Round

2018–19 – Quarter-finals

2019–20 – Preliminary Round

2020–21 – Quarter-finals

2021–22 – Second Round

African Cup of Champions Clubs: 9 appearances

1974 – Semi-finals

1976 – Second Round

1977 – Second Round

1978 – Second Round

1979 – Second Round

1980 – Second Round

1981 – First Round

1994 – Quarter-Finals

1995 – Second Round

CAF Confederation Cup: 6 appearances

2007 – Preliminary Round

2010 – Second Round

2011 – Play-off

2012 – Second Round

2018 – First Round

2021–22 – Quarter-finals

CAF Cup: 2 appearances

1993 – Finalist

1997 – First Round

CAF Cup Winners' Cup: 3 appearances

1985 – Second Round

1996 – Second Round

2001 – Second Round
Nadhani shida iko kwenye uhusiano kati ya CAF cup na confederations cup.

Maelezo uliyoweka yanasema Simba walifika fainali ya CAF cup, sio confederations cup. Nadhani hoja zielekezwe kwenye kuonyesha uhusiano kati ya CAF cup na confederations cup!
 
Alianza hivi,mzee wa polimilai

"Mnajipa hadhi ya kwamba eti mlicheza fainali leo? Hii hii ya Masudi? Leo Mwigulu au Mavunde Cup muiweke katika records sio?

Nyie mwisho wenu Robo za kupapatuana na Nginja Nginja za Mazaga zaga tu.

Nusu fainali inawahusu nini nyie Madunduka? Hii sio Tusker Cup wala Mtani Jembe au Hedex Cup, Hamjawahi toka muumbwe kufika nusu fainali katika muundo huu.

Kawaongopeeni Wageni wa football, waliokuja na Mafuso ya Ndizi sio sisi.Bata Wahed".....hajismanara
Yuko sahih knbsa Ni dhaihiri Simba hajawi fika nusu fainali kombe la shirikisho la muundo huu uliopo HV SAS Hilo kataa mkubali mtarndelee kuishia robo kwa miaka 10 zingine zijazo
 
Umeusoma uzi huu au umeanza kuchangia tu.
Nimeusoma uzi na ndio nikauliza swali likiwa linamana yake.
Katika mfumo wa CAF interclub kulikuwa na mashindano matatu.
1) hilo la African Cup of Champions Clubs, ndio sawa sawa na klabu bingwa.

Ila utata upo hapa; kati ya CAF cup naAfrican Cup Winners’ Cup ni michuano ipi ilikuwa ni sawasawa na shirikisho kwasasa.?

Kombe la shirikisho barani Africa ni michuano ambayo inachukua mabingwa wa kombe la shirikisho katika nchi zao (FA cup) Wanachama wa CAF wanakuwa na mashindano mawili la kwanza ni ligi kuu na la pili ni kombe la FA ambapo kwasasa ni sawsawa na Azam Federation cup.

Tukija kwenye kabla ya kuanzishwa kwa CAF confederation cup, kulikuwa na michuano ya African Cup Winners’ Cup ambayo ndio mashindano ambayo yalikuwa yanahusisha wahindi wa kombe la shirikisho za nchi zao (FA cup) ambapo ndio mfumo sawasawa na ulivyosasa katika Caf confederation cup.

Ikitoea timu iliyobeba ubingwa wa FA ndio huyo huyo bingwa katika ligi kuu ndio inafuata criteria zingine za kupata muwakilishi wa kuwakilisha kwenye kombe la shirikisho.

Lakini kombe la CAF cup haikuwa na mfumo sawasawa na kombe la Confederation cup, bali walikuwa wanachukua timu ambazo zimekosa nafasi ya kuwakilisha nchi yao katika CAF interclub championship.

African Cup Winners’ Cup ndio ilikuwa ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa
 
NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MY BROTHER HAJI MANARA KUHUSU SIMBA 1993.

Jana nilipata wasaa wa kuitazama clip yako kuhusu fainali ya Simba 1993 dhidi ya Stellah Abdijan.

Umesema nchi za Kiarabu hazikushiriki? Simba alicheza robo na USM El Harrach ya Algeria (Taifa la Kiarabu)

Okay naenda kwa hatua na utasahihisha pale palipokosewa na utaweka vema nilipopatia! 1993 mwaka tajwa hapo CAF alikuwa na michuano mitatu ya klabu ambayo yote ilikuwa chini yake na maelekezo yote yalitoka Mitaa ya 6th of October, Cairo yalipo makao makuu ya CAF.

Mwaka tajwa kulikuwa na michuano ifuatayo! African Cup of Champions Clubs, kulikuwa na CAF Cup na African Cup Winners’ Cup! Michuano yote mitatu ni ya CAF, ambao Champions Clubs ni timu bingwa kila nchi wanachama, ubingwa alibeba Zamalek ikiwa ni taji lake la tatu na linahesabiwa, timu shiriki zilikuwa 45 na zilipigwa mechi 73 karibia.

1993 Winners’ Cup hii ilikuwa michuano ya timu zilizobeba mataji ya FA kwenye nchi husika tu! zilipigwa mechi 72 ambapo bingwa alikuwa ni Al Ahly ya Misri walikipiga na African Sports ya Cameroon bila shaka, ni michuano ambayo ilikuwa chini ya CAF.

Halafu kuna CAF CUP unaweza kuliita Kombe la Shirikisho kwa Kiswahili! CAF ni shirikisho na kombe ndio lao, mechi zilipigwa 64 hapa!Ndio maana ya CAF CUP ya 1993! Hapa fainali alicheza Mfalme wa Nyika SIMBA YA DAR ES SALAAM dhidi ya Stella Adjame ya Ivory Coast, hii ilikuwa inahusisha Washindi wa pili kwa kila ligi kwenye nchi husika pasi na shaka.

Haji unasema Simba hakucheza fainali ya kombe la Shirikisho sasa nini maana ya CAF CUP kwa Kiswahili? Ama tuseme TFF CUP ama Azam Sports Federation Cup si ndio Kombe hili la Shirikisho ambalo Yanga ni bingwa Mtetezi?

Nimeona hoja ya kutajwa kwa Tajiri mkubwa wa Nigeria wakati huo MOSHOOD OLAWALE ABIOLA kuwa ndie aliyeweka mzigo kwa ajili ya michuano hii, je kuna tatizo gani kwa Mdhamini kupatikana na wengine humpa naming rights za michuano? Hii ni kawaida sana in business

Tumesahau kuwa kuna Azam SPORTS FEDERATION CUP (Tajiri Said Salim Bakhresa) tuliwahi kuwa na BARCLAYS PREMIER LEAGUE, CARLING CUP, MTN CUP, NBC PREMIER LEAGUE, zote hizo ni walioweka mzigo wanaweka na majina yao!

I stand to be corrected.View attachment 2599233

Performance in CAF competitions

The highest success that Simba achieved was reaching the final of the CAF Cup in 1993, where they lost to Stella Club of Côte d'Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date. In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.

CAF Champions League: 11 appearances

2002 – First Round

2003 – Group stage (Top 8)

2004 – Preliminary Round

2005 – First Round

2008 – First Round

2011 – Special play-off for Group stage

2013 – Preliminary Round

2018–19 – Quarter-finals

2019–20 – Preliminary Round

2020–21 – Quarter-finals

2021–22 – Second Round

African Cup of Champions Clubs: 9 appearances

1974 – Semi-finals

1976 – Second Round

1977 – Second Round

1978 – Second Round

1979 – Second Round

1980 – Second Round

1981 – First Round

1994 – Quarter-Finals

1995 – Second Round

CAF Confederation Cup: 6 appearances

2007 – Preliminary Round

2010 – Second Round

2011 – Play-off

2012 – Second Round

2018 – First Round

2021–22 – Quarter-finals

CAF Cup: 2 appearances

1993 – Finalist

1997 – First Round

CAF Cup Winners' Cup: 3 appearances

1985 – Second Round

1996 – Second Round

2001 – Second Round

Source: wikipedia
Mnr Yuko sahih kbsa Simba sc haijawai fika nusu fainali kwa muundo huu wa hv SAS , period
 
Kama ni ishu za muundo mbona nyinyi mkikurupushwa saa hizi hapa mtaje makombe mliyobeba mnataja mpaka yale ya kabla ya uhuru ambayo mlikuwa mnacheza gongowazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukiwaambia hamna akili mnanuna.
 
Nimeusoma uzi na ndio nikauliza swali likiwa linamana yake.
Katika mfumo wa CAF interclub kulikuwa na mashindano matatu.
1) hilo la African Cup of Champions Clubs, ndio sawa sawa na klabu bingwa.

Ila utata upo hapa; kati ya CAF cup naAfrican Cup Winners’ Cup ni michuano ipi ilikuwa ni sawasawa na shirikisho kwasasa.?

Kombe la shirikisho barani Africa ni michuano ambayo inachukua mabingwa wa kombe la shirikisho katika nchi zao (FA cup) Wanachama wa CAF wanakuwa na mashindano mawili la kwanza ni ligi kuu na la pili ni kombe la FA ambapo kwasasa ni sawsawa na Azam Federation cup.

Tukija kwenye kabla ya kuanzishwa kwa CAF confederation cup, kulikuwa na michuano ya African Cup Winners’ Cup ambayo ndio mashindano ambayo yalikuwa yanahusisha wahindi wa kombe la shirikisho za nchi zao (FA cup) ambapo ndio mfumo sawasawa na ulivyosasa katika Caf confederation cup.

Ikitoea timu iliyobeba ubingwa wa FA ndio huyo huyo bingwa katika ligi kuu ndio inafuata criteria zingine za kupata muwakilishi wa kuwakilisha kwenye kombe la shirikisho.

Lakini kombe la CAF cup haikuwa na mfumo sawasawa na kombe la Confederation cup, bali walikuwa wanachukua timu ambazo zimekosa nafasi ya kuwakilisha nchi yao katika CAF interclub championship.

African Cup Winners’ Cup ndio ilikuwa ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa
Manara ajengewe sanamu.....
 
CAF Cup ndio shindano ambalo lilikuwa na hadhi ya Shirikisho, na hili lilikuwa linashirikisha timu zile ambazo zilishindwa ku qualify vigezo vya kushiriki African Cup of Champions Club ambayo ndio Club Bingwa ya sasa.
 
Back
Top Bottom