Siku zinavyozidi kuyoyoma ndio kauli ya Manara inapoonesha uhalisia, dogo Farhanjr amchana chana vibaya

Siku zinavyozidi kuyoyoma ndio kauli ya Manara inapoonesha uhalisia, dogo Farhanjr amchana chana vibaya

Ufungwe kwa hizo porojo????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwahiyo mashindano kama ya Azam Sports Federation ni ya Bakhresa?
Kagame cup?NBC PL ya benki,VPL ya kampuni ya simu, huu ni upunguani wa mashabiki wa utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapi aliposema hivyo?
 
ZERUZERU ALIYEOKOLEWA NA UTAMBUZI WA MAZERUZERU BAADA YA KUNYOFOLEWA SANA VIUNGO NA WACHAWI.SASA AMEONEKANA ANAJARIBU KUBADILISHA KILA LILILO ZURI ILI ASIKIZWE.MPUUZI SANA HUYU.
 
ZERUZERU ALIYEOKOLEWA NA UTAMBUZI WA MAZERUZERU BAADA YA KUNYOFOLEWA SANA VIUNGO NA WACHAWI.SASA AMEONEKANA ANAJARIBU KUBADILISHA KILA LILILO ZURI ILI ASIKIZWE.MPUUZI SANA HUYU.
Ukimuattack kidogo tu analia na kukimbilia kufungua kesi kuwa ananyanyapaliwa....watu wanaruka nae tu [emoji1787]
 
Anabeba mbele ya Nan?
Angalia uzito wa club anazokutana Nazo.
Yanga huu msimu ni km Wana Bahat sana ingawa nao Wana ubora mzuri sana .
Ila club alizokutana Nazo Sion km ni kipimo tosha kwake.
Timu yenye uafadhar huko shirikisho Kwa msimu huu ni pyramid pekee ,na hao ndio kipimo Cha yanga.
All in all akibeba ni mafanikio mazur sana kwake ila sio kutamba kwamba mpinzan wake asingeweza Fanya anayoyafanya ,hapa ni Bahat tu imemuangukia Hana wapinzan wenye nguvu kiivo.
Shirikisho ya msimu huu na ya misimu iliyopita Kuna utofaut mkubwa sana.
Kwa akili Yako kwenye hizo timu za shirikisho za msimu huu unaiona ni timu gan ingemzuia Simba kufika fainal?
Sasa why Yanga ashindwe?
Simba na Yanga Zina ubora unaokaribiana Kwa Kila kitu ingawa yanga Ina kikosi kipana kuliko Cha Simba ila ubora wako sawa tu.
Tukubali tu Yanga wapo vizuri msimu huu sio dhambi
 
Sawa

Shindano la kwanza lilikuwa linaitwa Afirican cup of champions club.
Hili ndio kwasasa ni sawa sawa na klabu bingwa kwahivi sasa, na timu zilizotakiwa kushiriki hii michuano ni zile tu zinazobeba ubingwa wa ligi kuu.

2) Africa cup winner's cup

Hili ndio ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa, timu ambazo zilizokuwa zinazishiri ni timu ambazo zimetwaa ubingwa wa kombe la FA kwenye mataifa yao. Kama ikitokea aliyebeba kombe la FA ndio huyo aliyebeba na ligi kuu basi aliyecheza nae fainali (runner up) ndio atakayefuzu kucheza hili kombe la African cup winner's cup

3) CAF cup

Haya ni mashindano yaliyoanzishwa na Mnigeria kama kwaajili ya timu zilizoshindwa kufuzu mashindano ya kimataifa ya CAF.
Timu ambazo zinashika nafasi ya pili, na zilizoshindwa kufuzu mashindano ya CAF ( African cup winner's cup na African cup of champions club)
CAF cup ilianzishwa mwaka 1992 na mwaka 2003 ndio ikawa mwisho wa mashindano hayo hivyo yalidumi kwa miaka 12 tu

HITIMISHO

Kwanini African cup winner's cup ndio ni sawasawa na shirikisho kwasasa?
Sababu ya kwanza ni kama nilivyoeleza juu mfumo wake upo sawasawa na ilivyo CAF confederation cup.
Sababu ya pili ni CAF super cup
CAF super cup ni shindano linalohusha mabingwa wa kombe la CAF interclub yaani kombe la shirikisho na kombe la mabingwa.
Katika kipindi hiko kabla ya kuanzishwa kwa CAF confederation cup, CAF super cup ilikuwa inakutanisha bingwa wa African cup of champions club VS bingwa wa African cup winner's cup.

Katika mwaka 1993 bingwa wa African cup winner's cup alikuwa ni Al Ahly na bingwa wa African cup of champions club alikuwa ni Zamalek. Hivyo wakakutana kwenye CAF super cup mwaka 1994 na bingwa akauchukua Zamalek wa CAF super cup.

Huo ndio ukweli wa mambo
View attachment 2599934
Kwanza hiyo para ya kwanza ahsante kwa kutambua hilo na pia ungetambua pia SIMBA SC ilifika nusu fainali ya michuano hiyo mwaka 1974 ambayo wewe mwenyewe umethibitisha kuwa ndio CAFCL ya sasa .

Pili.[emoji116][emoji116]soma hapa kama utashindwa sema tukutafsirie.

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.[1]

Tatu.

Nyinyi hamna sababu ya kuliponda hili kombe la CAF eti kwasababu tu SIMBA SC alifikia hatua ya juu zaidi ktk shindano hilo,kwa maana YANGA nao walishiriki mara mbili na zote alitolewa hatua ya awali kabisa.

KINACHONISHANGAZA ....sasa hivi ukiambiwa utaje idadi ya makombe ya ligi ambayo yanga kabeba utaorodhesha mpaka yale ya kipindi ligi inaitwa daraja la kwanza,kipindi mnacheza pekupeku mkiwa gongowazi,...

Hayo ni majina yanabadilishwa kutokana na maboresho yanayofanyika kadri tunavyoendelea....

Azam Sports Federation....lilikuwa linaitwa NYERERE CUP
NBC PL ilikuwa ina majina mengi imeanza kuitwa LIGI DARAJA LA KWANZA huko nyuma

Wakati mwingine mkubali tu kuwa hawa wenzetu wapo hatua kadhaa mbele zaidi yetu katika eneo fulani na hutoonekana mjinga bali utaonekana umeelimika,ila kwa hivi mnavyoendelea bado tutaendelea kuwaona HAMNAZO kama mzee haji manara alivyosema.....
Screenshot_20230426-153425~2.jpg
Screenshot_20230426-152559~2.jpg
Screenshot_20230426-123542~2.jpg
 
Ukitaka kuignore mafanikio ya nyuma kwasababu tu ya maboresho mbalimbali yanayofanyika katika mashindano mbalimbali basi ilipaswa ujue kuwa ligi kuu Tanzania bara ilianza 1997 hivyo toka ligi kuu ianze yanga wamebeba kombe mara 12 na simba mara 10 msije na stori eti mmebeba mara 28[emoji1787]
Screenshot_20230426-125554~2.jpg
Screenshot_20230426-130323~2.jpg
Screenshot_20230426-151031~2.jpg
 
Anabeba mbele ya Nan?
Angalia uzito wa club anazokutana Nazo.
Yanga huu msimu ni km Wana Bahat sana ingawa nao Wana ubora mzuri sana .
Ila club alizokutana Nazo Sion km ni kipimo tosha kwake.
Timu yenye uafadhar huko shirikisho Kwa msimu huu ni pyramid pekee ,na hao ndio kipimo Cha yanga.
All in all akibeba ni mafanikio mazur sana kwake ila sio kutamba kwamba mpinzan wake asingeweza Fanya anayoyafanya ,hapa ni Bahat tu imemuangukia Hana wapinzan wenye nguvu kiivo.
Shirikisho ya msimu huu na ya misimu iliyopita Kuna utofaut mkubwa sana.
Kwa akili Yako kwenye hizo timu za shirikisho za msimu huu unaiona ni timu gan ingemzuia Simba kufika fainal?
Sasa why Yanga ashindwe?
Simba na Yanga Zina ubora unaokaribiana Kwa Kila kitu ingawa yanga Ina kikosi kipana kuliko Cha Simba ila ubora wako sawa tu.
Tatizo hamtaki kukubali kuwa kuna timu zime improve nyie mmekariri majina tu ya timu. Nyie msimu uliopita mmeenyeshwa na akina Berkane wakati huyo Berkane msimu huu katolewa mapema tu Monastir. Ukisema kuwa nyie mlikutana na timu bora zaidi msimu uliyoisha, je imekuaje hizo timu bora za msimu uliopita zinaenyeshwa msimu huu?
Huyo Pyramid unayemsifia ana kibarua kigumu cha kufuzu nusu fainali kwa msimu huu.
Msizibeze timu ngeni zisizo na majina makubwa CAF nazo zimejipanga ila hao wenye majina safari hii wameshindwa
 
Introduced in 1971 as the UEFA Cup, it replaced the Inter-Cities Fairs Cup. The UEFA Cup was the third-tier competition from 1971 to 1999 before the UEFA Cup Winners' Cup was discontinued,[2][3] and it is still often referred to as the “C3” in reference to this. Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions.

In 1999, the UEFA Cup Winners' Cup was merged with the UEFA Cup and discontinued as a separate competition.[4] From the 2004–05 season a group stage was added before the knockout phase. The competition took on its current name in 2009,[5][6] following a change in format.[7] The 2009 re-branding included a merge with the UEFA Intertoto Cup, producing an enlarged competition format, with an expanded group stage and a change in qualifying criteria. The winner of the UEFA Europa League qualifies for the UEFA Super Cup and, since the 2014–15 season, qualifies for the following season's UEFA Champions League, entering at the group stage.

Spanish clubs have the highest number of victories (13 wins), followed by teams from England and Italy (9 wins each). The title has been won by 29 clubs, 14 of which have won it more than once. The most successful club in the competition is Sevilla, with six titles. Eintracht Frankfurt are the reigning champions, having beaten Rangers 5–4 on penalties in the 2022 final.

Kiufupi haya mambo sisi tunaiga kutoka kwa wenzetu,check hiyo structure[emoji115][emoji115]
 
Nilielewe nini wakati kila kitu kipo wazi. Wewe unaongoza humu kwa kutoelewa maswala ya mpira wa miguu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitake radhi mkuu....
 
Ukitaka kuignore mafanikio ya nyuma kwasababu tu ya maboresho mbalimbali yanayofanyika katika mashindano mbalimbali basi ilipaswa ujue kuwa ligi kuu Tanzania bara ilianza 1997 hivyo toka ligi kuu ianze yanga wamebeba kombe mara 12 na simba mara 10 msije na stori eti mmebeba mara 28[emoji1787]View attachment 2600406View attachment 2600408View attachment 2600411
Hoja hapa ni moja tu
Ni kwamba CAF cup haikuwa ndio sawa na CAF confederation cup bali African cup winner's cup ndio iliyokuwa ni sawasawa na CAF confederation cup kwasasa. Simba kucheza nusu fainali ya Africa cup of champions mwaka 1974 hayo mashindano ni sawasawa na klabu bingwa kwasasa. Ila ya mwaka 1993 CAF cup haikuwa mashindano sawasawa na kombe la shirikisho hilo uelewe na ndio msingi wa hoja yangu na siyo majina kubadilishwa. Hayo FAT cup na Nyerere cup ndio kwasasa tunaita Azam Federation cup
 
Unaelewa vema sema unajifyatua akili kutimiza maneno na maagano ya manara

Screenshot_20230426-125023~2.jpg
 
Hii yote kinacho tafutwa ni nini hasa?
Hapa tunakaza nati zilizolegea katika vichwa vya watu ili tuimbe wimbo mmoja kama watanzania wenye upeo na akili timamu
 
Ili unielewe vyema naomba twende kwa kujibiana kwa mpangilio na kwa hoja kama kweli wewe mpira unaujua na unauelewa na unaufatilia. Naomba nikuulize unajua CAF super cup ni mashindanoni ya aina gani?
[emoji1787][emoji1787]kula chuma hiko.
Screenshot_20230426-181448~2.jpg
 
Ili unielewe vyema naomba twende kwa kujibiana kwa mpangilio na kwa hoja kama kweli wewe mpira unaujua na unauelewa na unaufatilia. Naomba nikuulize unajua CAF super cup ni mashindanoni ya aina gani?
Kombe la CAF Super Cup (pia linajulikana kama Kombe la African Super Cup au kwa sababu za ufadhili TotalEnergies CAF Super Cup) ni shindano la kila mwaka la shirika la soka la Afrika ambalo hushindaniwa kati ya washindi wa Ligi ya Mabingwa wa CAF na Kombe la Shirikisho la CAF. Shindano hili lilifanyika kwa mara ya kwanza mnamo 1993

Nimekutafiria kabisa hapo sasa usije ukachanganya mambo[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom