Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu.
Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder kwenye email na ilipofika october nilipata alert maana niliweka inipe taarifa mwezi kabla.
Kwa ufupi linalowezekana kufanyika sasa lisingoje kesho na muda hausubiri mtu, november ndio hii naona kasi yake ni kali kuzidi miezi yote na nilichopanga kufanya kinawezekana kwa asilimia ndogo sana japo mwezi october ningechukua hatua ya kusema nisisubiri ningefanya kwa % zaidi.
Siku zinabadilika kwa kasi sana, bado nazidi kujifunza kila iitwapo leo.