Allen loy
Member
- Sep 21, 2021
- 5
- 11
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani.
Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku.
Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku zote Vitu vizuri huja kwawatu wanaosubiri, ambao ni wavumilivu,lakini vitu bora huja kwa wale wanaopambana kuvipata, siku zote ikitaka kupata mafanikio ndungu zangu weka imani kua unaweza Amini kwa sababu ukotayari kukubali hatari zozote ili ufanikiwe,wakati mwingine unaweza kupoteza hata watu uwapendao unapo tafuta mafanikio mfano kuchukiwa na ndungu ama marafiki lakini siku zote usikate tamaa ndugu yangu.
Ili ufanikiwe unatakiwa kuchukua wazo moja tu, Fanyawazo moja kuwa maisha yako-fikiriajuu ya wazo lako, uliote, ishi juu yawazo hilo.
Wacha ubongo, misuli,mishipa, kila sehemu yamwili wako, ijazwe na wazo hilo,na tu acha kila wazo linginepeke yake.
Hii ndio njia ya kufanikiwa na jambo unalotaka,sikuzote usibabaishwe na mawazo ya wasio penda mafanikio yako na lakumalizia ndungu zangu wapendwa nikwamba iliuishi maisha ya ubunifu, lazimatupoteze hofu yetu ya kuwa namakosa na pia Ikiwa unataka kufikiaukuu acha kuuliza ruhusa fanya maamuzi ya busara kunamda unaweza kukata tamaa lakini kumbuka "Wakati mwingine maisha yatakupigausoni na tofali .. usipotezeimani."pambana kumbuka kwamba "Haiwezekani kuishi bila kushindwa kwa kitu, isipokuwa ukiishi kwauangalifu zaidi kuliko vile ungekuwahauishi kabisa. Katika halihiyo, unashindwa kwa msingi.
"Mwisho USIKATE TAMAA KABISA

Upvote
7