Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam.
Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini kulikopitiliza alipuuza na kwenda ndipo Sept 7 akashushiwa mvua ya risasi na kupata kilema cha kudumu.
Jana jasusi hilo la mbinguni limekionya chama chake ccm kwamba wasithubutu kwenda kwenye uchaguzi mkuu Oct 29 bila kufanya mambo matatu ambayo ni.
1. Kufungua makanisa ya ufufuo na uzima.
2. Kumwachia bila masharti bwana TL
3. Kufanya reforms kabla ya uchaguzi huo.
Kwa vyovyote vile sote tunajua ccm na watawala hawatakubali ushauri huu na watashupaza shingo zao kama kawaida yao.
Swali la kujiuliza je ni nini kitatokea kabla ya uchaguzi mkuu? Je jasusi hilo la mbinguni lina siri gani za kukisambaratisha chama cha mapinduzi.? Ana siri gani nyeti na mkakati gani chanya?
Na mwisho tujiulize ni kina nani wenye nguvu wako nyuma ya jasusi hili?