Siku zote tunaambiwa kwa wazungu wanamiliki uchumi wa Kenya, kwa wenzetu Waarabu na Wahindi ndio wenye kila kitu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu ndani ya ishirini bora ya wanaomiliki uchumi wa Tz, ni watu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, Mtangayika ni mmoja tu basi.
--------------------------
1)Mohammed Dewji,
2)Said Salim Bakhresa,
3)Rostam Aziz,
4)Reginald Mengi.
6)Ally Awadh (Lake Oil Group),
7)Shekhar Kanabar (Synarge Group),
8)Shubash Patel (Motisun Group),
9)Ghalib Said Mohamed (GSM Group),
10)FidaHussein Rashid (Africarriers Group),
11)Salim Turky (Turky's Group of Companies),
12)Yogesh Manek (MAC Group),
13)Abdulaziz Abood (Abood Group) na
14)Haroon Zakaria (Murzah Oils).

LESS than 20 individuals in Tanzania are worth $50 million (over 110 billion shillings) and above in net assets each, according to the latest global wealth report released this week by analyst firm Knight Frank.

Mbona Mimi hujaniorodhesha
 
Mdanganyika wa kweli ni mmoja tu (and he's dead already) kwa hivyo its 100% Bongolalas wamekaliwa na kuwa koloni la wahindi na waarabu. Very very sad indeed lazima tuwakomboe kwa utumwa huu.
 
Duh...hawa jamaa wako nyuma sana...yani mnaachia wahindi na waarabu wanaushikilia uchumi ki hvo...hii kwel hatari...

Halafu huja na kutaja wazungu eti ndio wameushikilia uchumi wa kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa jamaa kwel wameukubali umaskini...hawajitumi kabisa...watakuja wakwambie hao sio wahindi ni wazawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kawaida sana, duniani kote hali kama hii huwa inatokea.
Mfano uingereza na Canada wahindi wanamiliki utajiri mkubwa sana. Hivyo si tatizo. Tunafurahi kuwa sheria zetu zinazingatiwa na wanalipa kodi na ajira zipo. Pia tuna very high tax on capital repatriation. Hela hazitoroshwi kirahisi rahisi kama ilivyokuwa kabla.
The things now are even better than before as the laws are highly observed.
 
Hawa jamaa kwel wameukubali umaskini...hawajitumi kabisa...watakuja wakwambie hao sio wahindi ni wazawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakombozi wa Afrika lakini wameshindwa kujikomboa kwenye umaskini kisa uvivu na mdebwedo mwingi.
 
Duh...hawa jamaa wako nyuma sana...yani mnaachia wahindi na waarabu wanaushikilia uchumi ki hvo...hii kwel hatari...

Halafu huja na kutaja wazungu eti ndio wameushikilia uchumi wa kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe mjanja hapo kenya.... unashika nafasi ya ngapi katika list ya matajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu ndani ya ishirini bora ya wanaomiliki uchumi wa Tz, ni watu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, Mtangayika ni mmoja tu basi.
--------------------------
1)Mohammed Dewji,
2)Said Salim Bakhresa,
3)Rostam Aziz,
4)Reginald Mengi.
6)Ally Awadh (Lake Oil Group),
7)Shekhar Kanabar (Synarge Group),
8)Shubash Patel (Motisun Group),
9)Ghalib Said Mohamed (GSM Group),
10)FidaHussein Rashid (Africarriers Group),
11)Salim Turky (Turky's Group of Companies),
12)Yogesh Manek (MAC Group),
13)Abdulaziz Abood (Abood Group) na
14)Haroon Zakaria (Murzah Oils).

LESS than 20 individuals in Tanzania are worth $50 million (over 110 billion shillings) and above in net assets each, according to the latest global wealth report released this week by analyst firm Knight Frank.

mda uliopost hii makitu jirani kweli nimekukubali uko obsessed na bongo
 
Heheeee!!!usiumie kuburuzwa na wahindi...mm sina makosa jamani...huu ni ujumbe tu...ila sera zenu mbovu ndizo zimewafikisha hapo mlipo sasa
wewe mjanja hapo kenya.... unashika nafasi ya ngapi katika list ya matajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi yao wenyewe inawashinda...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakombozi wa africa hoyee...

Yani kampuni za maana karibia zote ni za wahindi na waarabu
Wakombozi wa Afrika lakini wameshindwa kujikomboa kwenye umaskini kisa uvivu na mdebwedo mwingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....wazawa hoyeeeeee!!!!

Cc.MK254 jamaa la wazawa huyu hapa
Number one billionaire is in Tanzania

Number two billionaire is in Tanzania

Number three billionaire is in Tanzania

And all are the Tanzanians by birth,hatred won't change anything
 
Back
Top Bottom