Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.

BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?

Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.

Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?

Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.

Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Unapinga kwa sababu ulishajiapisha kupinga chocote kilicho wazo la Mh Rais kwa hiyo hicho unachokifanya sio 'OBJECTIVITY' ila ni "SUBJECTIVE' kukidhi haja ya uwepo wa nguvu mbili ni sharti zikinzane hivyo huna hoja ya maana.

Historia na Uraia ni vitu viwili tofauti kabiksa. During our time we were studying political science and history that covered a lot about Tanganyika, Tanzania and Zanzibar. We learnt much about tribal clans system focussed from the most champion chiefs (chiefdoms) from Kilimanjaro Mangi Meli etc), Ruvuma Nduna Songea Mbano, Gama Mputa etc), Morogoro (Kingalu etc, Iringa (Mkwawa Mwakavinyika), Lake province/West lake (nowadays known as Kagera-Mukama/Rumanyika, etc), Tabora (Mirambo, Iske) etc) Mara (Makongoro etc), Tanga (chifu Mbwela etc),
 
Nchi yetu ina changamoto nyingi, sioni umuhimu wa somo la historia, wakati huo muda ungetumika vyema 'kuvumbua' majibu ya changamoto zinazotukabili kama taifa. Huu ni upuuzi per se!
 
Hapa naamua kuwa OBJECTIVE, somo la history ndilo linalompa mtu "sprit of Patriotism "

Hiyo ni moja ya OBJECTIVE ya somo la HISTORIA.
Mathalani Kitendo cha MKWAWA,BWANA HERI,ABUSHIRI ,YUSUPH BIN OMARY MAKUNGANYA,KINJEKETILE, Kuupinga utawala wakoloni kwa kuchukua silaha.

Wanafunzi wansposoma ,wanahamasika kabisa ,wanakuwa inspired kuipigania nchi, kuipenda wakitumia mfano mzuri wa hao mashujaa waafrikawaloishi miaka ya 1880's

Mh Rais kama kazungumzia kuwa somo la history linawajenga watu kuwa wazalendo YUPO SAHIHI asilimia 100%.

Kuhusu Civics somo la Uraia kiasi kikubwa linabase kwenye haki za Raia na wajibu.

MIMI NI MWALIMU MTAALAMU WA MASOMO HAYO MAWILI.

2018 nilifaulisha civics na darasa langu lilikiwa 20 kitaifa,2019 History tena 20 kitaifa.

Nimetoa maoni kama Mtaalamu mbobezi katika masomo hayo.

Katika kauli ya Rais yupo sahihi 100% tusiwe tunampinga kwa kila kitu,mambo mengine tuwe OBJECTIVE.

UKANA SHILUNGO.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi baada ya kusoma History kwa undani ndio niliona hao akina Bushiri sijui Mkwawa nao ni washenzi tu.

Hao walikuwa watawala wababe wa makabila, hawakuwa na wema Sana kuliko hata wazungu, walipigana na kabila nyingine ndogo na kuzipora vitu kama ardhi, mifugo, walifanya biashara ya kuuza Watumwa Waafrika kwa waarabu n.k.

Na wala sio wao tu, Hadi huko Africa ya Kati, Magharibi n.k watawala wa kibabe na wa maslahi binafsi tu

Wazungu na wenyewe walikuwa maharania sema wao walikuwa advanced na uharamia wao waliufikisha hadi huku Africa na mabara mengine, hata hao akina Mkwawa na Bushiri wangekuwa na teknolojia wangevamia tu mabara mengine kusaka utajiri zaidi.

So Historia inanifundisha binadamu wote naturally ni watu wabaguzi na wa maslahi binafsi, yafaa tuishi duniani kama race moja na sio kujigawa kutokana na rangi ama eneo maana ndio huzidisha utengano
 
During our time we were studying political science and history that covered a lot about Tanganyika, Tanzania and Zanzibar. We learnt much about tribal clans system focussed from the most champion chiefs (chiefdoms) from Kilimanjaro Mangi Meli etc), Ruvuma Nduna Songea Mbano, Gama Mputa etc), Morogoro (Kingalu etc, Iringa (Mkwawa Mwakavinyika), Lake province/West lake (nowadays known as Kagera-Mukama/Rumanyika, etc), Tabora (Mirambo, Iske) etc) Mara (Makongoro etc), Tanga (chifu Mbwela etc),
Sasa kama mlisoma na bado yanafundishwa mbona uzalendo hakuna? Hii historia ya Chato itakuja na jipya gani?
 
Una matatizo ya kuelewa wewe.Nimekujibu hao hawasomwi wanatajwa kwa sehemu ndogo sana.Alafu hata utoe povu hapa utobadilisha chochote na mwanao atasoma.Kama hutaki hama nchi.
Mipasho, pathetic embicile!
 
Nchi imegeuka kuwa kijiwe cha ukichaa, kila anachowaza wateule wanahangaika bila hata kuhoji... wasomi uchwara ni full kulinda ulaji tu.

Sioni mantiki ya kuanzisha hilo linaloitwa somo jipya.
 
Mkuu

Huna namna ya kufanya lazima ukubali.Mipasho unajua wewe lakini ukweli huna namna ya kufanya julai watoto wanaanza kusoma.We endelea kupiga mayowe nyuma ya keyboard.
Jenga hoja acha kujitoa ufahamu, kama unao enewei... wewe unaona umuhimu wowote kwenye hilo?
 
Jenga hoja acha kujitoa ufahamu, kama unao enewei... wewe unaona umuhimu wowote kwenye hilo?
Hoja ya Nini wewe ndie unaejitoa ufahamu.Ina maana Mpaka unajua kuandika hujui umuhimu wa Historia inavyojenga uzalendo? Alafu ujuaji mwingi.Mkuu acha kujificha nyuma ya keyboard Kama unaona wewe Una hoja za msingi jitokeze hadharani utoe hoja zak😵therwise una nipotezea muda wenzio walishanielewa.
 
Mimi baada ya kusoma History kwa undani ndio niliona hao akina Bushiri sijui Mkwawa nao ni washenzi tu.

Hao walikuwa watawala wababe wa makabila, hawakuwa na wema Sana kuliko hata wazungu, walipigana na kabila nyingine ndogo na kuzipora vitu kama ardhi, mifugo, walifanya biashara ya kuuza Watumwa Waafrika kwa waarabu n.k.

Na wala sio wao tu, Hadi huko Africa ya Kati, Magharibi n.k watawala wa kibabe na wa maslahi binafsi tu

Wazungu na wenyewe walikuwa maharania sema wao walikuwa advanced na uharamia wao waliufikisha hadi huku Africa na mabara mengine, hata hao akina Mkwawa na Bushiri wangekuwa na teknolojia wangevamia tu mabara mengine kusaka utajiri zaidi.

So Historia inanifundisha binadamu wote naturally ni watu wabaguzi na wa maslahi binafsi, yafaa tuishi duniani kama race moja na sio kujigawa kutokana na rangi ama eneo maana ndio huzidisha utengano
Nitapanua mjadala kesho, aksante sana kwa input
 
Nimegundua kwanini Kishimbi na Msukuma wanawaponda wasomi wetu!!! Taifa lipo kwenye changamoto ya ajira then kuna watu na elimu zao wanaona ni muda sahii wanafunzi kujifunza somo la historia ya Tanzania, kweliii!!! Ili wagundue nini labda?
 
Ndalichako amsema Historia ya Tanzania itafundishwa kwa shule zote sambamba na somo la historia linalofundishwa kwa sasa. Sasa kama somo husikatayari linafundishwa kuna haja gani ya ku-duplicate efforts na content? Ni wazi kuwa kufundishwa masomo mawili yanayofanana kwa wakati mmoja kuna kitu kinatafutwa, tena kwa udi na uvumba. Kukumbuwa kuwa Msumva wa Chato aliukwaa urais akafufua ATCL na menguneyo, basi. Anaingiza taifa kwenye ghara zisizokuwa za lazima kwa lengo la kujikweza na kujinufaisha binafsi!
Kwa mbali kuna dalili ya kuingiza maudhui ya SELF GROLIFICATION
 
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.

BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?

Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.

Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?

Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.

Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Eti kwa nini isiwe Mada tu hiyo
Sasa wasome historia tena historia ya Tanzania
 
Waliohimiza uwepo wa katiba mpya waliona mbali sana , ili nchi iondokane na rais Alpha na Omega ijenge mifumo ya kitaasisi na sio utashi wa mtu kijani kibichi hawataki katiba mpya kulinda maslahi yao na chama chao sasa kapatikana mfalme Alpha na Omega hata wao wenyewe wanajua ila wanashindwa kusema, kati ya heshima na tamaa nitachagua heshima .
 
Back
Top Bottom