Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Unapinga kwa sababu ulishajiapisha kupinga chocote kilicho wazo la Mh Rais kwa hiyo hicho unachokifanya sio 'OBJECTIVITY' ila ni "SUBJECTIVE' kukidhi haja ya uwepo wa nguvu mbili ni sharti zikinzane hivyo huna hoja ya maana.Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.
BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?
Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.
Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?
Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.
Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Historia na Uraia ni vitu viwili tofauti kabiksa. During our time we were studying political science and history that covered a lot about Tanganyika, Tanzania and Zanzibar. We learnt much about tribal clans system focussed from the most champion chiefs (chiefdoms) from Kilimanjaro Mangi Meli etc), Ruvuma Nduna Songea Mbano, Gama Mputa etc), Morogoro (Kingalu etc, Iringa (Mkwawa Mwakavinyika), Lake province/West lake (nowadays known as Kagera-Mukama/Rumanyika, etc), Tabora (Mirambo, Iske) etc) Mara (Makongoro etc), Tanga (chifu Mbwela etc),