Sikubaliani na Profesa Janabi

Umenena vema mkuu, kuna issue ya madawa haiongelewi sana lkn ndiyo chanzo cha magonjwa mengi sana hapa nchini.

Kuna tatizo kwenye prescription, matumizi, uhifadhi, na usalama wa dawa. Bado tuko nyuma sana ktk maeneo haya.
Sio kweli, madawa sio chanzo cha magonjwa mengi hapa nchini, ukosefu wa madawa ndio chanzo cha matatizo mengi.
 
Wewe huwezi kununua kuku wa Ulaya kwa sababu kipato chako cha hapa ni duni sana ukilinganisha na Ulay, raia wengi wa Ulaya kuku ni chakula cha kawaida kabisa ukilinganisha na raia wengi wa bongo ambapo kuku ni chakula cha anasa.
 
Wewe huwezi kununua kuku wa Ulaya kwa sababu kipato chako cha hapa ni duni sana ukilinganisha na Ulay, raia wengi wa Ulaya kuku ni chakula cha kawaida kabisa ukilinganisha na raia wengi wa bongo ambapo kuku ni chakula cha anasa.

Hapa tunaongelea quality. Kuku anayeliwa kwetu uswahilini Ulaya anauzwa kwenye maduka maalum kwa bei maalum. Kwenye grocery stores za kawaida huwezi kumwona.
Kitu kingine ukae ukijua Ulaya ya sasa sio ya zamani useme kuku Kitu cha kawaida, bei ya vyakula imepanda mara dufu mpaka kuku unamwona luxury, usikie tu hivyo hivyo
 
Mkuu ni kwa namna gani bamia inaweza kuleta lubricant kwenye Joints , nataka kujifunza
Mwili ni mashine. Mashine hufanya kazi kama ilivyotengenezwa. Mashine ikiwekwa oil, hujua oil itumike wapi. Mafuta, umeme n.k husafirishwq mahali husika.

Ukimeza dawa ya kichwa huingia tumboni, kisha injini za mwili hufanya kazi kugawanya kila kiambata kwenda mahali panapostahili. Obviously ukila wanga, mwili hujua wanga inahitajika maeneo gani.

Nimejibu kwa mifano ili uelewe
 
kwahiyo sasa,
hebu tulia kidogo basi kwanza 🐒

hukubaliani na Prof Janabi au Wazungu?🐒
 
Hapo kwenye jogging ni pagumu, labda ukizidisha ndio itakuletea shida.

Je ina maana mtu kila ukisikia nyege kwa vile ni kiasharia cha hitaji la mwili ni lazima ufanye zinaa??
 
Amesemaje Dr Janabi
 
Ipo siku utakubaliana naye bila shurti.

Hapa nilikuwa na kilo 96 five years passed

bp ikawa juu, ikalazimu niende hosp.

Nikaogopa kuanza dawa za bp.

Nikabadili mfumo wa ulaji kabisa sasa nina kilo 81 niko sawa moyo hausumbuii wala sukari.

Mazoezi pia ni muhimu.
 
Wewe utakuwa msomi wa zamani au wa sasa uliyesoma mambo ya zamani.

Hadi sasa ninamwamini prof. Janabi kwa kuwa mkweli na kuongea elimu ya kisasa zaidi.

Binafsi nilijifunza hayo kwa daktari wa Marekani na ninaona matokeo makubwa ya kushangaza.Nilikuwa nawadharau sana wataalamu wetu huku kwa kuwa wanazungumza vitu vya zamani na vya uongo.
 
Kuku luxury ulaya gani wewe acha ubahiri.
 
Umeelezea vyema kabisa......lakini pia ukila wanga kwa wingi mwili utachukua kiasi inachohitaji.....na kilichobakia kitahifadhiwa kwa matumizi ya baadae lakini tena baadae unaletwa wanga mwingine........ mzunguko unakuwa huo huo mpaka kuongezeka uzito na kuleta madhara mengine kinyume na matarajio ya kula...........

Rai ya Janabi ni kuwa watu tule kwa kiasi kwani mwili unahitaji kiasi kidogo sana ya kile tunachokula......
 
Kufupisha tu kauli za Janabi ni kama hivi...

1. Tule kulingana na uhitaji sahihi wa mwili, mwenye njaa ndiye ale. (Kula kwa kiasi)

2. Tule kiwango kinachofaa kuiondoa njaa, usile zaidi ya uhitaji.

3. Tule mlo kamili
 
Umefafanua vizuri sana, najazia hapo uzoefu na utaalamu wa Janabi, ni muhimu kuutmia tukiwa bado hatujafikia umri wa kushindwa kutembea kwasababu ya magonjwa yatokanayo na Milo mibovu.

Tusimbeze kama wanavyofanya clouds na wengine!

Ulaji mbovu wa chakula unaua sana nguvu kazi hapa Tz
 
Kwa nyumbani Tanzania, ukiondoa hawa kuku wa haraka haraka, vyakula vyetu bado ni organic sana.

Kwahiyo madhara yatokanayo na vyakula kwetu bado.

Hii Dunia kuna maeneo vyakula wanavyokula usiombe!

Ni matakataka tupu
kwa tafiti ipi uliyofanya unaposema bado?
 
Hakuna haja ya matusi , hii ni hoja imeletwa , tuweke hoja zetu kumpinga baaaasi
Kwani hujui wasifu wa mleta mada.Anajiita sexless ,leo ataanzisha uzi alivyopigwa miti (pelekewa moto), kesho ataanzisha uzi alivyompiga demu miti.
 
Ni wao waliokuja na sheria ya ndoa ya mke mmoja, leo wanasema wanaume tuooane.

Wazungu wanatutafuta kwa kila hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…