Sikubaliani na Profesa Janabi

Sikubaliani na Profesa Janabi

Chicken Fillets hizo ni bei zake za kawaida.Bei ya kuku kg moja hapa Sweden ni kronor 45 kama dola 4.37 za kimarekani.
 
Mimi juzi nilimsikiliza..naanza kumuelewa kidogo kidogo Prof..hasa hii statement yake anayosema itunze afya yako sasa ili ukifik 60's ukae kwa amani sio tena sfr za hospitali..maana uzeeni sumu na magonjwa tulobeba kwa miaka mingi ndo yanalipuka sasa..
Sumu zinazojazana mwilini haziletwi na chakula.
 
Ukiwa huna utaalamu na jambo ficha ujinga wako.Zinaletwa na nini?
Wewe unaelekea ni mweupe sana kichwani. Lete maelezo hapa ni kwa vipi chakula kijaze simu mwilini ili upongwe kwa hoja. Usifikiri wote tunakariri maneno ya kusikia. Zama kitabuni, uchambue kosayansi.

Lete uharo wako hapa udhalilishwe kwa hoja.
 
Back
Top Bottom