ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Magufuli alikuwa kiboko wa mabeberu na vibaraka wao. Alikuwa kiboko ya wapigaji wote, wala rushwa na wabadhirifu. He is the best president.
IQ yako ndogo hivyo huwezi kumuelewa mleta MADAUmeandika ushuzi gani tena
Lisu amekuwa dira hata kwa wanaccm baada ya magu kufa mefumbuliwa macho.Lisu ni mpumbavu anayetumia 071 kulelewa na wanaume wenzake ulaya
Watu vichwa maandazi humu mkuu, hata kusoma mada na kuielewa hawataki, wamejaa ushabiki tu. Ndio maana wakakubali kuletewa udikiteta na viumbe wa shamba, jamii ya Mtupoli.Kampinga kwa kusema yule dikteta hakuwa uchwara alikuwa kamili.
Hapa yawezekana unajiongelea mwenyewe.Lisu ni mpumbavu anayetumia 071 kulelewa na wanaume wenzake ulaya
Hii ndio hoja ya udikteta kamili ?Lisu ni mpumbavu anayetumia 071 kulelewa na wanaume wenzake ulaya
Huyo hicho kiungo ndiyo kinampa mkate wa siku. Ni ***** mwandamiziHapa yawezekana unajiongelea mwenyewe.
Tunatofautiana akili wengine utadhani hawaishi Tanzania. Eti best president??Magufuli alikuwa kiboko wa mabeberu na vibaraka wao. Alikuwa kiboko ya wapigaji wote, wala rushwa na wabadhirifu. He is the best president.
Yupo sahihi,tofautisha uchwara na kamili hapa ndipo kwenye hoja yake.Hebu pitia title yako hapo juu na soma kwa umakini content yako, then utagundua kama upo sahihi au la. Umempinga mtu lkn kwa maelezo yako bado una reflect yaleyale ya uliempinga.
Heeee! na huu upigaji uliosemwa na CAG ulitokea kipindi gani? Hao mabeberu aliwakomoa nini? mbona waliendelea kupata walichotaka! kama hukumbuki jiulize "wadau wa maendeleo ni nani? Anyways Pumzika Kwa Amani JPMMagufuli alikuwa kiboko wa mabeberu na vibaraka wao. Alikuwa kiboko ya wapigaji wote, wala rushwa na wabadhirifu. He is the best president.
Mataga walikimbilia hapa wakidhani una nia ya kumsifu dikteta.Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha kisiasa na kimaisha. Ni zaidi ya ndugu yangu. Tunafurahi wote na kuhuzunika pamoja.
Lissu, mwanzoni kabisa mwa utawala wa Mwendazake, aliwahi kumuita Mwendazake kuwa ni DIKTETA UCHWARA. Yaani, Mwendazake hakuwa DIKTETA KAMILI. Sikubaliani na Lissu katika hili. Namkatalia kwa nguvu, uwezo, upeo na ninachokiona.
Watu sasa wanazungumza 'ukweli'; CAG ameuanika 'ukweli'; wanaCCM wanaambiana 'ukweli' na hata wanasiasa wanaanza kurejea kwenye 'ukweli'. Ni kama watanzania wameupata upya uhuru wao wa kufikiri na kujenga hoja za haja. Angekuwepo Mwendazake mambo yasingekuwa hivi yalivyo sasa. Hata CAG asingesoma Ripoti yenye ladha hii.
Dikteta ni kiongozi wa kutisha. Wa kuogofya. Wa kunyamaza mbele yake hata kama ulikuwa na hoja. Wa kuvumilia mbele yake hata kama unaumia. Wa kulia sirini na kucheka hadharani. Wa kutetemeka na kutetereka bila kucheka unapojieleza mbele yake. Wa kusifiwa bila ukweli kuambiwa. Dikteta si wa mchezomchezo!
Mwendazake hakuwa wa kawaida. Kufunguka huku kwa kumwaga maoni kama koni ni kuonesha kuwa Mwendazake alikuwa na sifa za kutisha na kuogofya. Ndugu yangu Lissu nisikie: Mwendazake hakuwa DIKTETA UCHWARA. Alikuwa DIKTETA wa kweli. Ndiyo maana hivi sasa hata wanaCCM wanashangaana jinsi walivyo huru kusema na kutenda.
Mambo yamekuwa mambo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)