Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

Kumbuka twitter kila mtu huandika anavyojisikia mwenyewe.ambapo wengine huandika uzushi na uongo tu. Ungewaomba wakupe ushahidi
Gazeti la Mwananchi online wanadai wamefanya mahojiano na uongozi wa gari na umedai "wafanyakazi wa gari hilo walishindwa kuzuia kwa sababu watekaji walikuwa na silaha za moto." Kuna mdau mmoja ameweka habari nzima humu mtandaoni. Sasa jiulize, hizo "silaha za moto" ni za kuwindia ndege?
 
Hapo hakuna uchochezi.

Kwa akili yako fupi unaamini hizo silaha za kivita siyo za majeshi yetu?
Huyo hanaga akili, hata hizo akili fupi hana. Ni kama kuku aliyekatwa kichwa. Wala hashtuki watu wote wanampinga yeye tu. Analeta mahaba na uchawa kwenye ishu inayohusu uhai wa mtu. Anatia hasira sana.
 
Ndugu yangu mtanzania kumbuka kuna majambazi huwa yanakuwa na silaha za moto pindi yanapotaka kufanya uhalifu fulani.ndio maana jesi letu hupambana usiku na mchana kuhakikisha silaha zinamilikiwa na wale wenye vibali tu na siyo kuwa mikononi mwa majambazi
 
Huyo hanaga akili, hata hizo akili fupi hana. Ni kama kuku aliyekatwa kichwa. Wala hashtuki watu wote wanampinga yeye tu. Analeta mahaba na uchawa kwenye ishu inayohusu uhai wa mtu. Anatia hasira sana.
Narudia kusema ya kuwa unapokuwa kiongozi jiuzie kutumia hisia badala ya akili katika kufanya maamuzi au kutoa maneno.hata wewe tumia akili na siyo hisia na mihemuko yako hapa ya kitoto na kijinga.
 
Sasa wewe ulitaka aandike kuwa mzee kibao alikuwa anatembea akajikwaa akafa enh kuna time uchawa huwa hauna mantiki kwenye ishu serious
 
nadhani ndio maana wananchi wa Mbeya mjini walimkataa kwenye sanduku la kura, na nadhani wataendelea kumfedhehesha vizuri tu kwa sababu hizi hizi za kujifanya jasiri kwa kuropoka mambo ya kusikitisha sana kutamkwa eti na kiongozi, sasa kiongozi gani huyo
 

Kuna hii vipi haikuleta taharuki?
 

Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Kama sio wao, nani sasa anayeteka na hakamatwi? Unajua tukio la Mbeya lilichukuliwa kirahisi na watu wasioelewa madhara ya kutumia nguvu kupita kiasi.
Ila sasa linachukuliwa kama reference point. Kila ubaya unaulipoanzia.
 
Usingeweka hiyo nukuu ya Sugu... Hakika tungeamini kweli kakosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…