Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

Kwanini wenye gari hawakwenda moja kwa moja kituoni kwenda kutoa taarifa juu ya kushushwa kwa abiria wao?
Ndo maana nikasema huna akili. Upo Tanzania hii au nje ya nchi!?, au upo vijijini huko ndo umeshika smartphone awamu hii!?,gari mbili zenye namba za serikali zizuie basi, watu wenye silaha wamchukue abiria mmoja, dereva achome mafuta aende kituoni kutafuta nini!?, wakati waliomchukua abiria ni watu wa serikali!?,hivi una akili hata za kuvuka barabara!?, umewahi kupoteza ndugu yeyote!?,au najibizana na Zombie moja hapa!?
 
Mkuu hiyo ndezi achana nayo itakuharibia mood
 
Hakuna serikali inayoweza kufanya ujinga wa aina hiyo mahali peupe kabisa . Usifikiri serikali ina watu wenye akili ndogo kama zako. Hao ni wahuni kama wahuni wengine na lazima wakamatwe na kuwajibishwa kisawasawa
 
Tena muwatagi watu mashuhuri duniani usambae taharuki ya wapi wew
 
Ulitaka na yeye aseme anabubujikwa na Uharo?!
 
Naamini toka nimejiunga jamiiforums sijawahi kupigwa ban ila kwa sababu yako mwashamba nahisi kunasiku nitapigwa ban
 
Ujinga TU,angeuawa Baba yako ungetuandikia huo utumbo? Watu wamepoteza mtegemezi ujue
 
Lucas huu si wakati wa mibubujiko.
 
Mbona ameandika vizuri, tatizo liko wapi? Kwani wale maharamia walipoingia ndani ya basi kumchukua marehemu, walijitambulisha kama nani?

Kauli ya Sugu imenyoka. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, ndiyo maana hata dereva wa bus, baada ya utekaji, alijua marehemu alikuwa amechukuliwa na polisi, aliendelea na safari. Hata taarifa ya awali ya Mnyika, alisema kuwa msaidizi wake, mzee Ally amechukuliwa na polisi, hajui wamempeleka wapi. Mpaka muda huo haikuonekana kama ni utekaji.
 
We fala mtoto wa kahaba kwani cha ajabu kipi hapo ?,wewe huelewi trend ya matukio yanayofanywa na polisi mpaka sasa mbwa wewe ?, bichwa kubwa akili kinyesi cha punda na matope .
You Son of a whore !
 
Ungejikita katika hoja badala ya mashambulizi binafsi .Mwenye akili Timamu na anayejitambua anajadili hoja badala ya kufanya kama ulivyofanya wewe kuandika utoto
Hunaga hoja,wenye akili timamu hawakuelewi.
Ifikie hatua,uwe na elimu ya kujua"siasa sio uadui,ila wanasiasa wapumbavu ndo huona washindani wao kuwa adui.

Hizo hoja kawaambie wale mbwa waliojazana madarakani wazifate.
Afu ushakuwa mtu mzima,kemea maovu na utabarikiwa.
 
Kwani wewe na utu uzima wako hujawahi kusikia majambazi yamesimamisha gari kimabavu?
Kwa hiyo kwa akili yako wale walikuwa majambazi wakijutambulisha kama polisi na wakimiliki na pingu..?

Hawa majambazi hivi inakuwaje wanafanya matukio yote haya kwa njia na style ileile kwa wakijitambulisha kama mapolisi halafu polisi wenyewe wako kimya na hawajawahi kuweka hata mtego mmoja Ili wawakamate..?

Hebu wakati mwingine kama huna propaganda bora ya kuandika, acha ku - test intelligence zetu bali tazama na soma maoni ya wengine tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…