Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Mleta uzi, kushuka ngazi tuu unahema, kuzipanda hupatwi woga
 
Kitendo cha ku term fid Q ni genius.. Mnaharibu neno Genius...

Fid Q ni mtu ambae ana fikiria kwenye tungo zake, ni kama mpoto tu....

Hao wwtu huwez waita ni genius..
 
Ukisikiliza hoja anazotumia Fid Q kutetea uteuzi wa Tivu Ake kuwa Msemaji wa Shirikisho la Wasanii unabaki kusikitika tu.

Eti anajitoa sana wakati wa misiba ya wasanii!

He's reasoning like a peasant.
Atleast a peasant can reason positively,Fid kapuyanga😁,hivi kwa nini hata uishi ulaya 100yrs but huwa usukuma haujifichagi?
 
Mr Confident.. umeandika nilichokuwa nakiwaza pia. Niliiona hio Video You tube siku chache zilizopita.

Nikagundua Way of thinking yake imekuwa tu over rated inawezekana na shabiki zake. Ana uelewa wa kawaida tu.
Mimi nahisi, Alitaka kuelezea Placebo effect, Madini Ambayo Joe Dispenza anayasema kila siku, Jim rohn pia na wengine, hata Napoleon Hill.

Kwamba wewe ni reflection wa kile ulinacho akili, Kile unacho waza ndicho kinacho jionyesha. Ukimsoma Nguli, Joe Dispenza, Utamkutana na hizi mambo sana, Jose Murphy ktk the power of subconscious mind, naye anacheza humu pia ,[emoji16]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom