kobokocastory
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 1,076
- 1,270
Achague mojaMahali flani alitahadharisha Fid Q kwamba 'Mpe heshima yake au ata ichukua kwa nguvu'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achague mojaMahali flani alitahadharisha Fid Q kwamba 'Mpe heshima yake au ata ichukua kwa nguvu'.
Nimeuliza swali kwa heshma na taadhima ,lakini jinsi ulivyojibu inaonekana wazi kuwa wewe ni mnyambi sana ,umejibu kibembe na hashuo la ......,afadhali hata huyo mzee yusuph wa taarabu ...wewe huna mambo una nyimbo tu ! Kweli wewe ni mfuasi wa one the incredible !hip hop na taarabu wapi ma wapi,asiye husika na hip hop ashuke huwez ukawa unafuatilia hip hop alafu usimjue one the increadible bila shaka ww ni mfuasi wa mzee yusuph increadible hakuhusu.
'Usije acha ulichopanga maishani ghafla tu nakufata ulichotamani' by fid q mtoa ngosha sio mtu wa mchezo mchezoHumu leo sijui kama patatosha!
Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu nizitendee haki instincts zangu za muda mrefu..
He is so ordinary mkuu.. Yaani wabongo tunapenda sana ku-overate watu.. Hili hata JPM ashawahi kulisemea sehemu.Uzuri unaowaona ma genius wewe wanamkubari na kumuona Fid ni habari nyingine
Ni mkali katika uwanja wake ni mkali kwenye uwanja wa kile akifanyacho unless kama unaongelea mambo mengine.He is so ordinary mkuu.. Yaani wabongo tunapenda sana ku-overate watu.. Hili hata JPM ashawahi kulisemea sehemu.
Na haishangazi; ni kwa sababu wengi wetu hatuna bidii ya kufikiri coz hatusomi, hatutafiti, hatuperuzi.
5 years latee. Bado naendelea kunyoosha mkono hadi leo.Mkuu kama bado unabisha sio Genious nyoosha mkono, jifanye unajikuna
hahahah mzee mbona unafukua makaburi, kiukweli kuwa genious mi sikubaliani nalo ila yupo smart katika kuandika baadhi ya mashairi yake, ila hata wordplay yake ni ya kawaida mno.Bado mtazamo na msimamo wangu haujabadilika.
Wanasema huwezi kumjudge samaki kwa uwezo wake wa kupanda miti maana sio sehemu yake.hahahah mzee mbona unafukua makaburi, kiukweli kuwa genious mi sikubaliani nalo ila yupo smart katika kuandika baadhi ya mashairi yake, ila hata wordplay yake ni ya kawaida mno.
Ambao ni genius wanapatikana wapi?Huu ni upuuzi, HAKUNA msanii wowote wa Bongofleva aliye Genius au talented....they are all FAKE.
Muziki wa dansi, taarab, singeli, mchirku, chakachaAmbao ni genius wanapatikana wapi?
Kwa vigezo vipi mkuu?Muziki wa dansi, taarab, singeli, mchirku, chakacha