mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Usimlaumu Fid Q bali laumu wale anaolinganishwa nao mpaka yeye akabaki kama genius pekee wa hip hop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"mnakosea kupick Mc wa kumfananisha na Ngosha". kwa namna hyo hamtang'amua huo "Ugenius".Wanaoafiki FID Q ni genius wako sahihi kwa upande wao lakini kwa upande wangu sioni u-genius wake kwa sababu fid q amezezidiwa vitu vingi na ma MC/rapper wengine
Labda tungeJiuliza maswali kablya ya kuanza kumuita GENIOUS
1.Kwani Fid Q ndio rapa/MC mkali Kuliko wote hapa TZ?
Kama jibu ndio
2.Kwa uandishi gani anaomzidi rapa/MC "ONE THE INCREDIBLE" ??
Wasalam!
Weeeeeeee fid q ni mkali waoWanaoafiki FID Q ni genius wako sahihi kwa upande wao lakini kwa upande wangu sioni u-genius wake kwa sababu fid q amezezidiwa vitu vingi na ma MC/rapper wengine
Labda tungeJiuliza maswali kablya ya kuanza kumuita GENIOUS
1.Kwani Fid Q ndio rapa/MC mkali Kuliko wote hapa TZ?
Kama jibu ndio
2.Kwa uandishi gani anaomzidi rapa/MC "ONE THE INCREDIBLE" ??
Wasalam!
Huu sasa ni uchochezUko sawa, jamaa analelewa na wanawake, ni marioooo. Tena afadhari ulelewe na jimama, analelewa na vibinti.
Humu leo sijui kama patatosha!
Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu nizitendee haki instincts zangu za muda mrefu..
Si kweli. Fid hana hiyo gene!
Mwaka jana mwanzoni, huko Marekani alitokea mtoto wa miaka 14 aliyebuni saa ambayo ilikuja kudhaniwa ni bomu hivyo kumkamata na kumtia kizuizini kwa masaa kadhaa kabla ya kubainika kuwa ni saa tu isiyo na madhara na baadae kuitwa Ikulu na Rais Obama kupongezwa kuwa ni genius.
Nilichopenda kwenye mkasa huo, ni jibu la mwalimu wake pale alipoulizwa kuhusu 'ukipanga' wa huyo mtoto na anajisikiaje kufundisha mwanafunzi genius darasani kwake.
Alisema hivi, "Namjua vizuri Ahmed, sio mwanafunzi genius kama inavyodaiwa, ila ana jitihada sana ya kusoma na kujifunza. Jitihada zake ni zaidi ya wanafunzi wote ninaowafundisha".
Sasa hii ni kama ambavyo Fid anatajwa kuwa genius kutokana na uandishi wa tungo zake. Kwamba anafikiria sana na ni kichwa kuliko wasanii wote. Niseme ukweli, binafsi sikuwahi kuona hivyo, bali nimekuwa nikimwona kama msanii anayejitahidi sana kujifunza kuliko wasanii wengine. Hapa tusichanganye.
For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact. Ni bora nikamfagilia MwanaFA angalau yeye ameacha misemo mingi kwenye lugha ya Kiswahili.
Kituko hiki hapa sasa..
Nikki wa Pili alipouliza swali kuhusu kwanini vichaa hawaongozi kuugua kipindupindu licha ya kula vyakula vichafu, Fid anajibu ni suala la Kisaikolojia. Eti, akili yako ukiiambia kwamba nikila hiki chakula kichafu nitaugua, utaugua kweli. Na ukisema sitougua, hutougua. Hivyo vichaa hawana hiyo time ya kujua kama ni kichafu ndio maana hawaugui. Nilichoka.
Huo ni mfano mmoja tu. Mwingine nitajazia kadri mada hii itakavyoendelea.
Poleni kwa kusoma mkeka!
Kweli kabisa.Hana u genius wowote....He is only good in manipulating words and keeping them in bars (rapping/rhyming).
Hata ww ukishakua na experience flan ya maisha hususan katika swala zima la utafutaji na kukaa na watu wa aina mbali mbali..utajikuta una kua na busara flan hivi (a certain way of thinking)....anachofanya yeye sasa ni kuweka kwenye maandishi na wakati mwingine ni kusikia kauli za watu (nakumbuka aliwahi hojiwa akasema kuna wakati aliandika verse from words of wise men akiwa nao kitaa).
Kuna watakao kubalina na mm.
Either way anafanya kazi nzuri.
Bange ndio nini ewe Mzaramo?Chindo ndio nani?!
Usilete wavuta bange hapa ukasema ni wana Hip Hop
Genius amejibu swali asilolielewa badala ya kuwa muwazi.Kwangu mtu genius ni yule anayetambua pia kipi anaweza fanya na kipi hawezi..
Anajibuje swali la kitaalamu ilihali yeye siye? Yaani swali la ugonjwa analijibu kifalsafa? Hapa ndipo nilipoona anadhani anajua kila kitu.
Kuandika anavyoandika hata nuh akiamua anaweza. Uandishi ule ndio unawafanya mumuone genius?
Delivery speech ndio inaakisi uwezo wa kweli wa mtu kwa kuwa unapata kumfahamu anavyotazama mambo. Kuandika ni utunzi tu!.
Narudia, Fid q is just being overrated.. But no wonder hao wanaomFan ni mburulazzz ndio maana wanawona kipanga.
Nikki simkubali pia.
Anajifanya anajua Hip Hop ya bongo halafu et Chindo hamjuiBange ndio nini ewe Mzaramo?
Huyo anajua mchiriku tuAnajifanya anajua Hip Hop ya bongo halafu et Chindo hamjui
Humu leo sijui kama patatosha!
Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu nizitendee haki instincts zangu za muda mrefu..
Si kweli. Fid hana hiyo gene!
Mwaka jana mwanzoni, huko Marekani alitokea mtoto wa miaka 14 aliyebuni saa ambayo ilikuja kudhaniwa ni bomu hivyo kumkamata na kumtia kizuizini kwa masaa kadhaa kabla ya kubainika kuwa ni saa tu isiyo na madhara na baadae kuitwa Ikulu na Rais Obama kupongezwa kuwa ni genius.
Nilichopenda kwenye mkasa huo, ni jibu la mwalimu wake pale alipoulizwa kuhusu 'ukipanga' wa huyo mtoto na anajisikiaje kufundisha mwanafunzi genius darasani kwake.
Alisema hivi, "Namjua vizuri Ahmed, sio mwanafunzi genius kama inavyodaiwa, ila ana jitihada sana ya kusoma na kujifunza. Jitihada zake ni zaidi ya wanafunzi wote ninaowafundisha".
Sasa hii ni kama ambavyo Fid anatajwa kuwa genius kutokana na uandishi wa tungo zake. Kwamba anafikiria sana na ni kichwa kuliko wasanii wote. Niseme ukweli, binafsi sikuwahi kuona hivyo, bali nimekuwa nikimwona kama msanii anayejitahidi sana kujifunza kuliko wasanii wengine. Hapa tusichanganye.
For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact. Ni bora nikamfagilia MwanaFA angalau yeye ameacha misemo mingi kwenye lugha ya Kiswahili.
Kituko hiki hapa sasa..
Nikki wa Pili alipouliza swali kuhusu kwanini vichaa hawaongozi kuugua kipindupindu licha ya kula vyakula vichafu, Fid anajibu ni suala la Kisaikolojia. Eti, akili yako ukiiambia kwamba nikila hiki chakula kichafu nitaugua, utaugua kweli. Na ukisema sitougua, hutougua. Hivyo vichaa hawana hiyo time ya kujua kama ni kichafu ndio maana hawaugui. Nilichoka.
Huo ni mfano mmoja tu. Mwingine nitajazia kadri mada hii itakavyoendelea.
Poleni kwa kusoma mkeka!
Si bora ungesema katika nyimbo za Fid Q hiyo ndiyo nyimbo unayipenda.Wimbo Ambao FidQ Alirap Fresh Na Akaeleweka Ni "Usinikubali Haraka" Aliyomshirikisha Matonya. Nyimbo Nyingine Zote Jamaa Anaimba Kama Ana Kigugumizi Maneno Hayatamkiki Na Kueleweka Ingawa Huwa Anaimba Falsafa Nyingi Alizomeza Kutoka Vitabuni