Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Sorry kama nimekoti vbaya hii iwaendee wale wote wanaomponda Fid Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Sorry kama nimekoti vbaya hii iwaendee wale wote wanaomponda Fid Q
Huo ndio ubunifu ninao usemea mimi.
Kumbuka, sio watu wote wenye uwezo wa kuunga maneno na mithamiati kadhaa na kufanya msistari ya hip-hop ikasikilizika.
Ubunifu ni kufanya kitu kizuri kwakutumia kitu au vitu vingine ambavyo vilikuepo.
Basi sawakama hio ndio maana ya ubunifu basi watanzania mnahaki ya kuburuzwa na viongozi wenu
Heshimu tu kitu anachofanya mtu, hali ya kuwa weww huwez kufanya walau robo.. Mtu kukopi, kupata misemo kwa washkaji ni mambo ya kawaid.."Utasikia hatukopi kwenye vitabu babu" . Unadhani kukopi mpaka ku-make sense mchezo!
Ulivyotaja mihadarati nimekumbuka ngoma moja fid yumo na a.y alisema mihadarat ya ukubwan ndio inakufanya usichunge ulimi..Oops my bad, man. Mihadarati kweli noma.
Maelezo ya kwenye chandy... Kitabu cha pure mathematics A level, tulikuwa tunatumia sana..Mfano wa genius ni Ramanujan
Soma habari zake, tafuta kitabu au movie yake "The Man Who Knew Infinity".
Jamaa amefariki 1920 mpaka leo wanahesabu wanahangaika kukokotoa na ku prove theories zake, karibu miaka 100 imepita.
Waliona taxi yenye namba 1729 na mkali mwenzake wa hesabu Hardy, akaelezea jinsi hiki kichwa kilivyokuwa kama computer
Hardy alisema
"I had ridden in taxi cab number 1729 and remarked that the number seemed to me rather a dull one, and that I hoped it was not an unfavorable omen. "No," he replied, "it is a very interesting number; it is the smallest number expressible as the sum of two cubes in two different ways." "
How does a mere mortal know something like that off the bat like that?
Srinivasa Ramanujan - Wikipedia, the free encyclopedia
cc Nyani Ngabu
Kama umesoma Pure A Level utakuwa umesumbuka sana na proofs mpaka kuzipatia Q.E.D.Maelezo ya kwenye chandy... Kitabu cha pure mathematics A level, tulikuwa tunatumia sana..
Chindo ndio nani?!Hebu nielekeze ngoma za huyo jamaa unayemkubali maana hata simjui, vp anamzidi Chindo
Hata Bob alikuwa anavuta, hata Fid humu mnasema anavuta halafu hatujadili wavuta bangi tunajadili vipanga wa hip hop hao wakwako sijui wa shimoni na madarajani hawaimbi hip hop na huyo nyanga'u unayempenda hata hajulikaniChindo ndio nani?!
Usilete wavuta bange hapa ukasema ni wana Hip Hop