Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Haya hebu tuangalie definition ya neno "Genius" kutoka kwa wazungu wenyewe

Cambridge

very great and rare natural ability or skill, especially in aparticular area such as science or art, or a person who has this:

Oxford
1. Exceptional intellectual or creative power or other natural ability:
2. An exceptionally intelligent person or one with exceptional skill in a particular area of activity:
3. The prevailing character or spirit of something:

Mimi namuingiza kwenye Ugenius kwa hiyo definition number mbili ya Oxford...Na haswa hapo kwenye "Exceptional Skill in a particular area of activity"...Na the guy ana Exceptional skill katika hip hop...


Turudi kwenye definition yako..
"For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact"

Hii umeitoa kwenye dictionary gani?...Huo mfano wako wa kujibu swali la kipindupindu sio relevant maana genius sio lazma ajue kila kitu katika aspect zote za maisha...Hata mvumbuzi wa umeme ungemuuliza kuhusu kilimo cha tumbaku asingejua..

Acha kuwa Hater mkuu...The guy IS a genius...(Based on Oxford Dictionary)
Mnampa ugenius ambao hata yy mwnyew hana uhakika kama anao,na huenda akawashangaa kwa kumpakazia kesi kama hiyo,promo inazidi uwezo wake(genius tunae mmoja "one the increadible" ambae anatambulika kiserikali na mkemia mkuu)
 
Haya hebu tuangalie definition ya neno "Genius" kutoka kwa wazungu wenyewe

Cambridge

very great and rare natural ability or skill, especially in aparticular area such as science or art, or a person who has this:

Oxford
1. Exceptional intellectual or creative power or other natural ability:
2. An exceptionally intelligent person or one with exceptional skill in a particular area of activity:
3. The prevailing character or spirit of something:

Mimi namuingiza kwenye Ugenius kwa hiyo definition number mbili ya Oxford...Na haswa hapo kwenye "Exceptional Skill in a particular area of activity"...Na the guy ana Exceptional skill katika hip hop...


Turudi kwenye definition yako..
"For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact"

Hii umeitoa kwenye dictionary gani?...Huo mfano wako wa kujibu swali la kipindupindu sio relevant maana genius sio lazma ajue kila kitu katika aspect zote za maisha...Hata mvumbuzi wa umeme ungemuuliza kuhusu kilimo cha tumbaku asingejua..

Acha kuwa Hater mkuu...The guy IS a genius...(Based on Oxford Dictionary)
Umeua mkuu
 
Hakuna genius mwenye majibu ya maswal yote ila huwa wanatakiwa kujua vingi. Yaan sio kujua kila kitu

Mimi ni genius na watu wengi wanajua hilo ukitaka kuhakikisha kaa na mm nkupe ambayo hukuwai kuona au kusikia ukiwa darasan
HATA MM NAFAHAMU KWAMBA WW NI GENIUS
 
Sio Genius huyo Bali ni Experienced... Hivi yule mwalimu mkali wa hesabu anayoifundisha kila mwaka hiyo hiyo unaweza kumuita Genius?


After all mimi ni Genius ila siko overated kama FidQ.. Fuatilia thread zangu utagundua hilo.. Usipanic bro
 
Huyo increadble ndo nani mkuu ??
hip hop na taarabu wapi ma wapi,asiye husika na hip hop ashuke huwez ukawa unafuatilia hip hop alafu usimjue one the increadible bila shaka ww ni mfuasi wa mzee yusuph increadible hakuhusu.
 
Tatizo watu wengi wa dunia ya sasa Tunajua vingi halafu tunafahamu vichache,,,tunasoma sana mpka kua na maPhD lakin kichwan kukabiliana na changamoto ndogo tu hakuna zaid ya kulalamika,,mwenye PhD anlalamika,mwenye degree analalamika,mwenye diploma analalamika,mwenye cheti cha six analalamika na mwenye cha form 4 analalamika,ila wa std 7 wala halalamiki.. Maisha yanaenda...

Turud kwenye mada,fid Q a.k.a ngosha anajua,anajua kuchana,anajua kuandika,anajua kunata na biti na yupo unique na wasanii wengi wa hip hop. Msanii mkal ni yule kla ngoma yake anakuachia homework kuitafsiri,,ili uielewe lazma usikilize Mara mbilimbili, msanii mzur yule ambae anajua washkaji wanataka nn na kwa wakat gan!!!
Kuna wakali wa kuandika mistari migumu na inavutia yaan yakifalsafa sana.... Na kuna wasanii wakali wa kuandika mistari mepes lakin inaujumbe haswa... Na kuna msanii anaweza kuandika mistari ya story flan na ikafiti kbsa hata kwa vina...

Tanzania kuna wasanii wawili tu wanaojua kuandika mistari ya kifalsafa na migumu Mwana fa,na fid Q,

Wanaojua kuandika mistari milaini yenye ujumbe nzito afande selle,profesa J.

Msanii pekee mwenye ladha tofauti ya kufloo na asietumia nguvu kubwa lakin mziki wake una ladha tamu ni Joh Makini mwamba wa kaskazin.... Na kwmbaliiii Mr blue.. Wengine wanajitahid Ila vichwa hizi ni balaaaa. Sikulazimshi kuamin amin wewe unachokiamin. Quit
 
E
Humu leo sijui kama patatosha!

Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu nizitendee haki instincts zangu za muda mrefu..

Si kweli. Fid hana hiyo gene!

Mwaka jana mwanzoni, huko Marekani alitokea mtoto wa miaka 14 aliyebuni saa ambayo ilikuja kudhaniwa ni bomu hivyo kumkamata na kumtia kizuizini kwa masaa kadhaa kabla ya kubainika kuwa ni saa tu isiyo na madhara na baadae kuitwa Ikulu na Rais Obama kupongezwa kuwa ni genius.

Nilichopenda kwenye mkasa huo, ni jibu la mwalimu wake pale alipoulizwa kuhusu 'ukipanga' wa huyo mtoto na anajisikiaje kufundisha mwanafunzi genius darasani kwake.

Alisema hivi, "Namjua vizuri Ahmed, sio mwanafunzi genius kama inavyodaiwa, ila ana jitihada sana ya kusoma na kujifunza. Jitihada zake ni zaidi ya wanafunzi wote ninaowafundisha".

Sasa hii ni kama ambavyo Fid anatajwa kuwa genius kutokana na uandishi wa tungo zake. Kwamba anafikiria sana na ni kichwa kuliko wasanii wote. Niseme ukweli, binafsi sikuwahi kuona hivyo, bali nimekuwa nikimwona kama msanii anayejitahidi sana kujifunza kuliko wasanii wengine. Hapa tusichanganye.

For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact. Ni bora nikamfagilia MwanaFA angalau yeye ameacha misemo mingi kwenye lugha ya Kiswahili.

Kituko hiki hapa sasa..

Nikki wa Pili alipouliza swali kuhusu kwanini vichaa hawaongozi kuugua kipindupindu licha ya kula vyakula vichafu, Fid anajibu ni suala la Kisaikolojia. Eti, akili yako ukiiambia kwamba nikila hiki chakula kichafu nitaugua, utaugua kweli. Na ukisema sitougua, hutougua. Hivyo vichaa hawana hiyo time ya kujua kama ni kichafu ndio maana hawaugui. Nilichoka.


Huo ni mfano mmoja tu. Mwingine nitajazia kadri mada hii itakavyoendelea.

Poleni kwa kusoma mkeka!

ndelea kuamini JOH MAKINI NDO ZAIDI YA FID Q....ENDELEA TU KUAMINI HIVYO... FID Q ATABAKI KUWA JUU SIKU ZOOOTE.
 
fid ni wa tofauti sana msikilize hata akizungumza,anakuwa kama anajisikiliza kwanza kabla ya kuongea...kimsingi yupo makini zaidi ya joh
 
Kuna kipindi shule ilikuwa kila mvuta bangi tunamuona kichwa [emoji23][emoji23][emoji23] mis mY times at kahororo daah
 
Hata Bob alikuwa anavuta, hata Fid humu mnasema anavuta halafu hatujadili wavuta bangi tunajadili vipanga wa hip hop hao wakwako sijui wa shimoni na madarajani hawaimbi hip hop na huyo nyanga'u unayempenda hata hajulikani
Kwa hiyo kama Bob alikuwa anavuta ndio nini?!
Kwani Bob nani?!

Chindo mnamjua nyie wavuta bange wenzie wa Arusha huko...Labda huwa ana-rap akiwa kwenye vijiwe vya bangi.

Mbona kina Joh,Nikki wa Pili,G.Nako wanatoka Arusha na hawana haja ya kujitambulisha kila mtu anawajua Acha kutetea wahuni
 
Back
Top Bottom