Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Sidhani kama kweli kuna msanii wowote wa bongo fleva ni mbunifu, wote hawana mpango ila wanazidiana tu vituko na uigizaji wa kuiga black Americans.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Songa mwenyewe anamkubali Fid QFid q anauwezo wake lakini kwa upande wangu namkubali songa
Haya hebu tuangalie definition ya neno "Genius" kutoka kwa wazungu wenyewe
Cambridge
very great and rare natural ability or skill, especially in aparticular area such as science or art, or a person who has this:
Oxford
1. Exceptional intellectual or creative power or other natural ability:
2. An exceptionally intelligent person or one with exceptional skill in a particular area of activity:
3. The prevailing character or spirit of something:
Mimi namuingiza kwenye Ugenius kwa hiyo definition number mbili ya Oxford...Na haswa hapo kwenye "Exceptional Skill in a particular area of activity"...Na the guy and Exceptional skill katika hip hop...
Turudi kwenye definition yako..
"For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact"
Hii umeitoa kwenye dictionary gani?...Huo mfano wako wa kujibu swali la kipindupindu sio relevant maana genius sio lazma ajue kila kitu katika aspect zote za maisha...Hata mvumbuzi wa umeme ungemuuliza kuhusu kilimo cha tumbaku asingejua..
Acha kuwa Hater mkuu...The guy IS a genius...(Based on Oxford Dictionary)
Fid q kwa vizazi vya BRN ndo wanamuona anajua kuandika mashairi magumu lakini amna kituyupo kwenye game miaka kibao hana mafanikio yoyote..
kina diamond wanakuja na watoto wao wanamfunika...
hana u genius wowote ni mvuta bangi tu.
hapa jiwe gizani ngoja mashabiki wake waje..
ila mjiandaeeee kwa shari maana nimejiandaa kwa ban
Uko sawa, jamaa analelewa na wanawake, ni marioooo. Tena afadhari ulelewe na jimama, analelewa na vibinti.Fid Q ni habari nyingine
Na wewe kacopy..Ni genius wa copy and paste
punguza jazba.Na wewe kacopy..
Sasa wewe unamkandia fid alafu unamsifia songa aisee..Fid q kwa vizazi vya BRN ndo wanamuona anajua kuandika mashairi magumu lakini amna kitu
[emoji14] [emoji14] [emoji14] jazba sina bruh sema mnanishangazaga sana watu kama wewe, kama kucopy ni kazi nyepesi na wewe kacopy tukusikie.punguza jazba.
plagiarism is offense[emoji14] [emoji14] [emoji14] jazba sina bruh sema mnanishangazaga sana watu kama wewe, kama kucopy ni kazi nyepesi na wewe kacopy tukusikie.
Humu leo sijui kama patatosha!
Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu nizitendee haki instincts zangu za muda mrefu..
Si kweli. Fid hana hiyo gene!
Mwaka jana mwanzoni, huko Marekani alitokea mtoto wa miaka 14 aliyebuni saa ambayo ilikuja kudhaniwa ni bomu hivyo kumkamata na kumtia kizuizini kwa masaa kadhaa kabla ya kubainika kuwa ni saa tu isiyo na madhara na baadae kuitwa Ikulu na Rais Obama kupongezwa kuwa ni genius.
Nilichopenda kwenye mkasa huo, ni jibu la mwalimu wake pale alipoulizwa kuhusu 'ukipanga' wa huyo mtoto na anajisikiaje kufundisha mwanafunzi genius darasani kwake.
Alisema hivi, "Namjua vizuri Ahmed, sio mwanafunzi genius kama inavyodaiwa, ila ana jitihada sana ya kusoma na kujifunza. Jitihada zake ni zaidi ya wanafunzi wote ninaowafundisha".
Sasa hii ni kama ambavyo Fid anatajwa kuwa genius kutokana na uandishi wa tungo zake. Kwamba anafikiria sana na ni kichwa kuliko wasanii wote. Niseme ukweli, binafsi sikuwahi kuona hivyo, bali nimekuwa nikimwona kama msanii anayejitahidi sana kujifunza kuliko wasanii wengine. Hapa tusichanganye.
For someone to be genius, ni lazima awe innovative! Lazima aache impact. Ni bora nikamfagilia MwanaFA angalau yeye ameacha misemo mingi kwenye lugha ya Kiswahili.
Kituko hiki hapa sasa..
Nikki wa Pili alipouliza swali kuhusu kwanini vichaa hawaongozi kuugua kipindupindu licha ya kula vyakula vichafu, Fid anajibu ni suala la Kisaikolojia. Eti, akili yako ukiiambia kwamba nikila hiki chakula kichafu nitaugua, utaugua kweli. Na ukisema sitougua, hutougua. Hivyo vichaa hawana hiyo time ya kujua kama ni kichafu ndio maana hawaugui. Nilichoka.
Huo ni mfano mmoja tu. Mwingine nitajazia kadri mada hii itakavyoendelea.
Poleni kwa kusoma mkeka!
[emoji14] [emoji14] Sawa, ila mimi sio shabiki kabisa wa fid q na nimezungukwa na raia za kutoka Arusha kibao wasiomkubali maana wale ndio awampendi sana jamaa maneno yao ni yale yale jamaa anacopy anacopy , ila mimi sijawahikubali ilo kusema jamaa sio mzuri kisa anacopy..Heshima kwake [emoji122] [emoji122]plagiarism is offense
mimi nachana mistari yangu mingi kama pundamilia.
heshima kwake kwa kucopy bila wewe kugundua.[emoji14] [emoji14] Sawa, ila mimi sio shabiki kabisa wa fid q na nimezungukwa na raia za kutoka Arusha kibao wasiomkubali maana wale ndio awampendi sana jamaa maneno yao ni yale yale jamaa anacopy anacopy , ila mimi sijawahikubali ilo kusema jamaa sio mzuri kisa anacopy..Heshima kwake [emoji122] [emoji122]
Teh teh, Anacopy Jay Z sembuse Fid qheshima kwake kwa kucopy bila wewe kugundua.
Sasa wewe unamkandia fid alafu unamsifia songa aisee..