Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

M



Mkuu nimekuelew vyem kw maelezo yako ni km nimeyakubal kw asilimia zote..maan kuwa innovative sio kwmb we ni genious.
 
yupo kwenye game miaka kibao hana mafanikio yoyote..

kina diamond wanakuja na watoto wao wanamfunika...

hana u genius wowote ni mvuta bangi tu.

hapa jiwe gizani ngoja mashabiki wake waje..

ila mjiandaeeee kwa shari maana nimejiandaa kwa ban
Fid q kwa vizazi vya BRN ndo wanamuona anajua kuandika mashairi magumu lakini amna kitu
 
Mr Confident.. umeandika nilichokuwa nakiwaza pia. Niliiona hio Video You tube siku chache zilizopita.

Nikagundua Way of thinking yake imekuwa tu over rated inawezekana na shabiki zake. Ana uelewa wa kawaida tu.
 
Hana u genius wowote....He is only good in manipulating words and keeping them in bars (rapping/rhyming).

Hata ww ukishakua na experience flan ya maisha hususan katika swala zima la utafutaji na kukaa na watu wa aina mbali mbali..utajikuta una kua na busara flan hivi (a certain way of thinking)....anachofanya yeye sasa ni kuweka kwenye maandishi na wakati mwingine ni kusikia kauli za watu (nakumbuka aliwahi hojiwa akasema kuna wakati aliandika verse from words of wise men akiwa nao kitaa).

Kuna watakao kubalina na mm.

Either way anafanya kazi nzuri.
 
shaurimbaya,
Marijani Rajabu marehemu na Mbaraka Mwinshehe mare emu walikufa masikini. Unadhani Diamond ni zaidi yao katika fani?
 
Mwanahiphop yeyote duniani ni GENIOUS,Kwanza wanahiphop ndo wakuza lugha huwa wanaingiza maneno/misemo mipya katka lugha,mfano wa misemo wa youngkiller(shoga hata atoe jicho vp hawezi ona mafanikio),johnmakin(mwanamke ndo alfanya nfukuzwe eden lakin akinipa tunda najihis heaven)
 
plagiarism is offense
mimi nachana mistari yangu mingi kama pundamilia.
[emoji14] [emoji14] Sawa, ila mimi sio shabiki kabisa wa fid q na nimezungukwa na raia za kutoka Arusha kibao wasiomkubali maana wale ndio awampendi sana jamaa maneno yao ni yale yale jamaa anacopy anacopy , ila mimi sijawahikubali ilo kusema jamaa sio mzuri kisa anacopy..Heshima kwake [emoji122] [emoji122]
 
heshima kwake kwa kucopy bila wewe kugundua.
 
Genius..?who is geneus..? And which kind of/elements of geneus dat he have..?
 
Sasa wewe unamkandia fid alafu unamsifia songa aisee..

Wewe utakua kizazi cha BRN ndo mnasema fid anaandika tafuta ngoma ya fid I am professional alafu nenda tafuta ngoma ya lily kim sikwambii ngoma gani alafu njoo ubwabwaje hapa sema fid anaandika mfano mdogo ukitaka nifate PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…