Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Habari

Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
 
Pole kwa changamoto,ila uli update taarifa zako mapema katika Portal??na kama ulishafanya hivyo kwa wakati jaribu kuwasiliana na Utumishi Mapema pengine unaweza kupata msaada,pia kama utashindwa kupata msaada na una uhakika kuwa umejiandaa vyema jaribu kupambana kwa namna yoyote upate nauli ya kukuwezesha kufikahuko pengine inaweza kuwa nafasi yako.All the best
 
Habari

Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Sasa unamgombeza nani hapa? Kupanga ni kuchagua,kongole kwa serikali yako sikivu ya wanyonge
 
Habari

Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Pole mkuu. Wenda huko ndiko kuna riziki yako. Pambana upate nauli uende. Ikishindikana husife moyo iliyo yako itakuja.
 
Habari

Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Pole Sana

Anza safari kesho Kwa roli haitozidi 50K

Pia kule gharama za maisha zipo chini .

Naweza kukuombea nyumbani ukafilkia hapo Kama Usahili unafanya Bukoba mjini.

Mimi nipo DSM sasa
 
Back
Top Bottom