Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Yeah ni mbaya, huwezi kumtoa mtu kutoka mtwara kwenda Tarime. ( kwenda kufanya usail wa mazingaombwe). Garama itakayotumika ni thamani ya kununulia boda boda used. 🚮🚮🚮Wanafanya kosa ambalo TAMISEMI hawajathubutu kulitenda