Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Hiyo laki 3 si unajiajiri hapo hapo ulipo, emefikiria hilo?
 
Nenda kazisome TGS tena kisha rudi hapa tena hio laki 3 na 200 ipo juu kuna laki 2 na 100
Nimekuwekea hapa scale za mishahara ya walimu na wewe weka Yako tuone mshahara wa laki 3 na senti 20 ni WA mwalimu wa daraja Gani nijuavyo Mimi ni hivi scale ilivyo kwa sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20241015-222151.jpg
    Screenshot_20241015-222151.jpg
    502.9 KB · Views: 3
Nimekuwekea hapa scale za mishahara ya walimu na wewe weka Yako tuone mshahara wa laki 3 na senti 20 ni WA mwalimu wa daraja Gani nijuavyo Mimi ni hivi scale ilivyo kwa sasa
Acha kubishana na ma last boni, watakuumiza headache.

Excuse my english, Imma not an english guy.
 
Mimi bacherol ni laki 77,9000
Bachelor halafu unaandika tarakimu hivi kweli?!?.... Hao wanafunzi Wana kazi.... Bachelor unaandika "Bacherol" 779,000/= unaandika 77,900... Kazi ipo hii elimu imechezewa sana.
 
Bachelor halafu unaandika tarakimu hivi kweli?!?.... Hao wanafunzi Wana kazi.... Bachelor unaandika "Bacherol" 779,000/= unaandika 77,900... Kazi ipo hii elimu imechezewa sana.
Uko mshamba sana
 
hapo jamhuri ya ukimani wenye roho nzuri mnahesabika. umempa mwanga kijana. ningekua tz ningemtumia chochote kitu.
Dunia sio Kijiji Tena ....Dunia ni gheto .... Fanya muamala huo kijana aende akapambane au tumuagize akaombe msaada Kwa mjumbe wa UVCCM Taifa mtoto wa Mwigulu mchemba aliyetoa misaada wa vifaa Kwa ofisi za UVCCM Mkoa wa Singida.... Kwani ana kazi gani yule mtoto mpaka kutoa msaada wa vifaa vyote vile!? Si anasoma!??.....
 
Uko mshamba sana
Bora niwe mshamba kuliko kuwa mwalimu mpumbavu ... Yaani makosa madongo ya kiuandishi kama hayo unakosea utaweza kuwaandikia watoto kweli hata Characteristics wewe ...wewe tu kuandika mtihani...utaweza kuwaDictate wanafunzi ...... Una bahati kama ni mwalimu ulipita kipindi mnapangiwa tu vituo .. Kwa mchujo wa Sasa USINGETOBOA..... Jifunze kwanza kuandika.
 
Ungekosa bado ungelaumu ila tumefanya hivyo maana Kagera walioomba wachache na kwa kuwa una sifa ndo maana tumekupeleka huko otherwise ungekosa.
Asipoenda ndio inakuwa "NATURAL ELIMINATION".... Wataoenda wanapunguziwa upinzani...aende tu ...
 
Habari

Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Pitisha daftari tukuchangie....wengine tulitoka hukohuko, so maumivu yake nayajua.
 
Si ukale tu ubwabwa na mandondo chenji kula bia na kimwana cha Tabata.
Ukiulizwa se.a sijui lolote
 
Back
Top Bottom