DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni kweli Wana hela wale jamaa ,bado ni diwani na pia mwenyekiti wa mtaa wa rwamishenye ijapokuwa wananifurahisha Sana khamisi akiwa Kagera eti sued ndiye dereva wake na bodyguard wake .
But wale ni watu Sana bro ,ninayo mengi kuhusu ile familia Kaka
May God keep blessing them .
Familia ya kizungu Sana ile.
Sitaki kuongea mengi Ila watu waliokuwa karibu na huyo mzee kawavusha Sana .
Mara ya mwisho nilienda kumsalimia kwake 2019 kule kwake Busimbe. Very humble .