Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
NakubaliNdogo kwako mzee, maisha tumetofautiana, we buku sio hela, kuna mtu ndio maisha yake siku nzima.
Kuna mtu elfu 10 ni dhahabu kwake mwingine sio kesi,
Kuna mtu lakini ni kipengele kikubwa mnoo, mtoto anaenda shule na masempele na manyampu nyampu, kuna mwingine hiyo laki analala hotel usingizi wa siku moja na haiwazii wala nini..
Kama ni ndogo kwako si kwa wote, unaweza msaidie.