Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Da
Mzee Umenikumbusha BK nilisoma kwenye Ile shule kongwe.

Hali ya hewa ya ubaridi nilitesekaga Sanaa.

Kule nilishuhudia radi zinapiga huku jua linawaka..

Kule ndio nilijifunza kula senene na parachichi...

Ooga wa kusafiri na vyombo vya maji ndipo ulinitokaga..kashai,nshambia,rwamishenye, kyaka irabo.
Daktari yapo mengi ya kuzungumza na wewe hasa rwamishenye ,kwa akina sued kagasheki .

Vipi habari ya uswahilini na hamgembe kwa akina hashimu yahya
 
Mzee Umenikumbusha BK nilisoma kwenye Ile shule kongwe.

Hali ya hewa ya ubaridi nilitesekaga Sanaa.

Kule nilishuhudia radi zinapiga huku jua linawaka..

Kule ndio nilijifunza kula senene na parachichi...

Ooga wa kusafiri na vyombo vya maji ndipo ulinitokaga..kashai,nshambia,rwamishenye, kyaka irabo.

Dr utakuwa umesoma science pale aliposoma Mbowe IYUNGO
 
Mkuu ahaaa umenikumbusha Sued kagasheki huyu ni ndugu na Balozi kagasheki nilimuacha akiwa diwani

Ile familia yao Ina pesa Sana na kismati.
Ni kweli Wana hela wale jamaa ,bado ni diwani na pia mwenyekiti wa mtaa wa rwamishenye ijapokuwa wananifurahisha Sana khamisi akiwa Kagera eti sued ndiye dereva wake na bodyguard wake .

But wale ni watu Sana bro ,ninayo mengi kuhusu ile familia Kaka

May God keep blessing them .
 
Back
Top Bottom