Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Wasiliana nao wakubadirishie ila kama current address yako ni Bukoba sahau kubadirishiwa.....Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa