Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Haya mambo mnayatoa wapi bwashee?dogo vua kapelo na uhame kwa shemeji ili uelewe uache kukaza fuvu. hapo ukimani bado kuna mishahara ya kalimanganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo mnayatoa wapi bwashee?dogo vua kapelo na uhame kwa shemeji ili uelewe uache kukaza fuvu. hapo ukimani bado kuna mishahara ya kalimanganga
tumefanyaje...?Ila watanzania!!!
Amemuweka makonda kwenye avatar yakeSasa unamgombeza nani hapa? Kupanga ni kuchagua,kongole kwa serikali yako sikivu ya wanyonge
Usail wa nini tena 🤔 🤔Sawa bwashee, jiandae kwa usaili
Hakuna kumwezesha mtanzania ajikwamue. Ni kuwekewa vikwazo tu Ili ashindwe. Inasikitisha sanaHabari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Njoo na wewe Kagera umpe support mwenzakoUsail wa nini tena 🤔 🤔
Bukoba sehemu gani kaka?Pole Sana
Anza safari kesho Kwa roli haitozidi 50K
Pia kule gharama za maisha zipo chini .
Naweza kukuombea nyumbani ukafilkia hapo Kama Usahili unafanya Bukoba mjini.
Mimi nipo DSM sasa
Hakuna ndugu wa kumchangia?Hela ndogo hivyo inakutoa jasho, kazi ya kuwaondoa watz ujinga utaiweza kweli ?
kama kuna uhakika wa kupata hiyo sio tatizo, kwa scenario ya huyu kijana mimi naona kama kubeti tu, mimi namshauri aendelee kutafuta tu sehemu nyingine.Toa pesa upate pesa.
Nakushauri tu, usiwe mtu wa lawama...Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Ngoja nikuache, yawezekana nabishana na mtu usiye level yangu.. Napoteza mda tu hapa..Njoo na wewe Kagera umpe support mwenzako
Bukoba sehemu gani kaka?
Round about ya kwa kagambo au ya mjini?Ukifika Bukoba mjini pale round about utatembea dk 15 au 10
Unaroho nzuri sana
Unafahamu hosptali ya government ilipo ?Round about ya kwa kagambo au ya mjini?
Usiseme hivo mkuu "mwenye shibe hamjui mwenye njaa"Hela ndogo hivyo inakutoa jasho, kazi ya kuwaondoa watz ujinga utaiweza kweli ?
Unaishi mjini kati kabisa mzee .Unafahamu hosptali ya government ilipo ?
Sasa ukifika hapo umefika nyumbani
Mkiitwa kwenye maandamano ya kuipinga serikali kandamizi ya mafisadi, kwanini huwa hamtoki barabarani ?Usiseme hivo mkuu "mwenye shibe hamjui mwenye njaa"
Mzee Umenikumbusha BK nilisoma kwenye Ile shule kongwe.Ukifika Bukoba mjini pale round about utatembea dk 15 au 10