Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

Actually JPM alikuwa na huruma sana, kuna watu walifanya dhambi ya usaliti dhidi ya nchi yao akaishia kuwasamehe tu.

Yaani miaka nenda rudi tunapiga kelele kuwa tunaibiwa rasilimali za nchi yetu kama vile madini na gesi, anakuja rais ambaye anaamua kulivalia njuga hilo suala ili kutetea maslahi ya nchi alafu wanajitokeza wapuuzi wachache miongoni mwa wale waliokuwa wanalalamika kuwa tunaibiwa wanaanza kuizunguka nchi na kupanga mipango ovu dhidi ya nchi!

Wanajijua, na dhambi zao zinafahamika. Wasahau kuja kuwa viongozi katika serikali ya jamuhuri ya nchi hii.
Mtu mbaya alikufa tushukuru Mungu kwa kumuondoa
 
Unyama aliotendewa Kabendera na ile serikali ya kinyama kama ungetendewa wewe ungeishakufa
Alianza yeye au serikali? Alihangaika mno kuitafuta serikali. Serikali ilipokutana nae akaanza kulia yeye.

Ni kama Lissu alivyokuwa anamuimba Magufuli kila siku. Ooh dikteta uchwara, ooh proffeserial rubish, ooh utanyolewa bila mate.

Haya sasa.
 
Actually JPM alikuwa na huruma sana, kuna watu walifanya dhambi ya usaliti dhidi ya nchi yao akaishia kuwasamehe tu.

Yaani miaka nenda rudi tunapiga kelele kuwa tunaibiwa rasilimali za nchi yetu kama vile madini na gesi, anakuja rais ambaye anaamua kulivalia njuga hilo suala ili kutetea maslahi ya nchi alafu wanajitokeza wapuuzi wachache miongoni mwa wale waliokuwa wanalalamika kuwa tunaibiwa wanaanza kuizunguka nchi na kupanga mipango ovu dhidi ya nchi!

Wanajijua, na dhambi zao zinafahamika. Wasahau kuja kuwa viongozi katika serikali ya jamuhuri ya nchi hii.

Porojo nyingi tu na unafiki. Nadini yapo Chini ya serikali, Sasa Nani atayaiba Kama sio serikali yenyewe. Mmeibia nchi kwa miaka 60 ila bado mnatupia lawama outsiders kwenye wizi wenu.
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ume-panic kama mkojo wa asubuhi?😃😃😃
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuharibu majina ya watu. Haitwi elick. Shuleni mlisomea ujinga by Faiza Foxy
 
Back
Top Bottom