econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma
Angalia wewe ndio usiwe juha. Kabendera alikashifu serikali lini?. Kuongea ukweli ndio kukadhfu?. Bora Mungu aliamua ugomvi mapema, maana hata kucheka ingekuwa kosa.