Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

Mtu mbaya alikufa tushukuru Mungu kwa kumuondoa
 
Unyama aliotendewa Kabendera na ile serikali ya kinyama kama ungetendewa wewe ungeishakufa
Alianza yeye au serikali? Alihangaika mno kuitafuta serikali. Serikali ilipokutana nae akaanza kulia yeye.

Ni kama Lissu alivyokuwa anamuimba Magufuli kila siku. Ooh dikteta uchwara, ooh proffeserial rubish, ooh utanyolewa bila mate.

Haya sasa.
 

Porojo nyingi tu na unafiki. Nadini yapo Chini ya serikali, Sasa Nani atayaiba Kama sio serikali yenyewe. Mmeibia nchi kwa miaka 60 ila bado mnatupia lawama outsiders kwenye wizi wenu.
 
Mbona ume-panic kama mkojo wa asubuhi?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 

Acha kuharibu majina ya watu. Haitwi elick. Shuleni mlisomea ujinga by Faiza Foxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…