Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki


Angalia wewe ndio usiwe juha. Kabendera alikashifu serikali lini?. Kuongea ukweli ndio kukadhfu?. Bora Mungu aliamua ugomvi mapema, maana hata kucheka ingekuwa kosa.
 
Alianza yeye au serikali? Alihangaika mno kuitafuta serikali. Serikali ilipokutana nae akaanza kulia yeye.

Ni kama Lissu alivyokuwa anamuimba Magufuli kila siku. Ooh dikteta uchwara, ooh proffeserial rubish, ooh utanyolewa bila mate.

Haya sasa.
Mwisho wa siku Magufuli analiwa na funza, Kabebera bado ni mwandishi, Tundu Lissu bado yupo kwenye harakati zake.. Nani mshindi?😂😂😂
 
Pigo kubwa kwa walinda legacy!! Ngoja waje 🤣🤣🤣!!
 
Ondoa hasira, tulia soma ulichokiandika kisha sahihisha ili ueleweke.
 
Angalia wewe ndio usiwe juha. Kabendera alikashifu serikali lini?. Kuongea ukweli ndio kukadhfu?. Bora Mungu aliamua ugomvi mapema, maana hata kucheka ingekuwa kosa.
Isije ukawa na wewe ni mmoja wa wale waliokosa mgawo wa money laundering. Pole sana na usimsingizie Mungu kwa ushetani mliofanya au uliofanyika.
 

Mbona kama wewe ndo pumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…