Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

Tofauti ya wewe na kabendera ni moja, wewe unaongea unacho kihisi kichwani mwako, kabendera ameandika alicho kichunguza
Hakuna uchunguzi wowote utakaobaini anachoongea huyu Juha Kabenfera
 
Unyama aliotendewa Kabendera na ile serikali ya kinyama kama ungetendewa wewe ungeishakufa
unaujuwa ujinga aliokuwa anaufanya mpaka akafanyiwa hayo aliyofanyiwa ungekuwa ni wewe umefanyiwa ujinga huo ungekubali? achen ujinga wa kudandia vitu
 
Kiswahili ndo shida kubwa hapa.
 
Magufuli alikuwa muuaji kwene hisia za watu walioaminishwa na mafisadi ambao hawakupumua kwenye utawala madhubuti
Ukiona mtu anamsifia Magufuli kuwa alikuwa kiongozi madhubuti ujue huyo jangili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…