Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,176
Reaction score
4,979
Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
 
Umecheza vicoba gani? Kaushal damu? (Kidding)

Pole sana all will be well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…