Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
140/89 unasema imepanda? Hiyo mbona kawaida sana. Kuwa 128/70 mara nyngi chini ya miaka 20. Na Ukianza kuvuka 145/80 sasa hapo ndio unaingia kwenye tatizo la kudumuHabari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Mmnh...chaiWife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.Mmnh...chai
Alishinda na simu yako?!Wife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
Hapana nashindwa kuelewa tatizo nini ila ni mtu wa mawazo kiasi lakini pia anapenda chumvi na ana body Nene kiasi.Alishinda na simu yako?!
Bwege huyo...!Hukuwa na ulazima wa kumthibitishia kama haamini
Mwanzishie gym shemeji yetuHapana nashindwa kuelewa tatizo nini ila ni mtu wa mawazo kiasi lakini pia anapenda chumvi na ana body Nene kiasi.