Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
WeweeeeWife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeweeeeWife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Hii ni hatari sana. Kaonane na madaktari ili kuona vipi watamsaidia.Wife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
YeahHukuwa na ulazima wa kumthibitishia kama haamini
Pole mkuu,imepndishwa na nini hiyo presure? life style au ni msongo wa mawazo?Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Nimepima ECG Niko vizuri,,,,nimepewa Dawa za Aina mbiliPole mkuu,imepndishwa na nini hiyo presure? life style au ni msongo wa mawazo?
Otherwisw matibabu yoyotw huwa yanataka kumaliza dose,ila kama unaona changamoto unamuona tena Dokta anakubadilishia dawa.Sababu BP ni ugonjwa nyeti nashauri usitumie dawa za Viwandani za kuambiwa mitaani isipokuwa kama ni dawa lishe mfano vitunguu nk
Ahsante mkuupole sana muungwana.....
Mwenyezi Mungu akupe ahueni ya mapema....
hata hivyo,
tujitahidi sana kupunguza mawazo kupita kiasi, kusamehe na kusahau kabisa.
tusihifadhi mambo mengi sana moyoni japo sio rahisi pia kama mwanadamu, maana sasa na moyo nao siku hizi umekua na kazi nyingi hadi unasukuma na mengine 🐒
Poleee sana. Kila siku asbh kabla hujafungua kinywa pata maji ya moto ya karafuu. Na jioni pia kabla hujalala. Karafuu isage weka kijiko kimoja kwenye kikombe chako. Fanya huo uwe utaratibu wako Kila siku.Inaniendesha Vibaya
Pole sana mkuuHabari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Kwa hiyo sasa hivi sio chai tena imegeuka kuwa kahawa au juice mzee...?Hauko sawa upstairs, mtu mwenye "ampendaye" na yuko na hali hiyo hawezi kuwa busy kutukana watu mitandaoni, kwa wataalamu wa afya hiyo ni "Emergency hypertensive crisis." pressure ya kiwango iko muda wowote inapasua mishipa ya damu na ni more likely ya ubongo na ikipiga centres nyeti unampoteza mpendwa wako, nimekusamehe bure.
Presha yako ni ya kawaida sana hiyo, mshukuru Mungu. Kuna watu wanatembea na presha ya 170/90 miaka kibao na wako sawa tu, wanapambana nayo aste asteHabari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Shukran sana kiongozi, tatizo ni msiri sana kuna vitu huwa mgumu kuvisema hata kama vinamuumiza deep inside.Nilichopenda ni kuwa mnapendana na mkeo mpaka Raha .
Ila zaidi jina la mwanao Nuru ni jina la nesi wangu kivuruge ananikosha mno .
Mpe muda mkeo ,zungumza naye Kuna jambo lipo usilolijua presha si mkojo kuwa ukinywa maji basi figo inachuja .
Pamoja baba Nuru
Yes chumvi huwa inapandisha madam.Chumvi Hua inapandisha presha
Yes my dear...!Weweeee
Ndo tunapambana kiongozi kuweka hali yake sawa. Shukran sana.Hii ni hatari sana. Kaonane na madaktari ili kuona vipi watamsaidia.
Wape salam Nuru pamoja na Mama YakeMuda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
Mbona 120/80 ndio normal kwa adults wote tu?Nmeshawahi pata reading ya 160/98mmHg
Nurse akanambia kaka umekuja unatembea
Nikamwambia Yes na ntarud natembea
Know your readings kwanza
120/80 ni universal rate no doubt but not everyone should be umo
Inachukua muda gani hii kuweka hali kuwa kawaida mkuu...?Poleee sana. Kila siku asbh kabla hujafungua kinywa pata maji ya moto ya karafuu. Na jioni pia kabla hujalala. Karafuu isage weka kijiko kimoja kwenye kikombe chako. Fanya huo uwe utaratibu wako Kila siku.