Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Mfahamishe na Vipimo anavyotumia! Asipende kutumia Vipimo vya kidigitali. Atumie mashine za kupampu
 
Ukichunguza vizuri huyu lazima anabugia mauchafu fulani.

Hakuna cha presha wala nini ni mauchafu tu na machanjo. Na masindano ya uzazi.

A human body is PERFECTLY BUILT to be EVER HEALTHY unless it is DEFECTIVE by virtue of some natural causes or unless it is CORRUPTED BY POISONS AND TOXINS.

Kisukari sijui presha na matakataka mengine ni kwa sababu mwili umekuwa CORRUPTED na MACHANJO na MACOCACOLA. Of course na MACHIPS MAYAI YA KISASA.
 
Kahawa ukizidisha lazima ikuzingue. Inashauri kutotumia vikombe zaidi ya vitatu na uweke kijiko kimoja. Mimi nilikua natumia zaidi ya hvyo.

Nikaacha baada ya mwezi nilikua sawa. Kwa sasa napiga kikombe kimoja asubuhi natulia.

Hamna kitu hakina madhara ukizidisha mkuu.
 
Umewezaje kurealize kwamba ni worst ? Nini kilitokea mwilini mwako ukaona kuwa ni worst hiyo hypert..?

Kwako ili ikae sawa hiyo presha unatamani kuona kitu gani kikifanyika kwenye mwili wako mkuu ndio utaridhika kwamba presha yako iko sawa ?
Kuumwa kichwa,kizunguzungu,mwili kuishiwa nguvu kuhisi uzito kifuani na kukosa usingizi usiku
 
Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?

Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
Kama ilishawahi kukupata once ikikupata Kwa mara nyingine utajua dalili zake Hua obviously
 
Nna 89 kgs
 
Nsitumie ivyo vitu Kwa Muda gani
 
Stethoscope haipimi blood pressure bali inafanya auscultation (inasikiliza mapigo ya moyo).

Blood pressure inapimwa na sphygmanometer.
Mkuu mimi siwezi kupima presha bila stetho maana ndiyo inanisaidia kujua systolic ni ipi na diastolic ni ipi katika manual ila kwa mashine ni another case.

Ndio maana nikasema stetho inapima presha kwa maana ni msaidizi wa kujua presha ya mtu though unaweza pima manual kwa kutumia sphyg..

Asante
 
Ahahhaha mkuu nimefurahi kwa wewe kuja hapa kutoa neno lolote katika hii mada.

By the way tunahitaji hizi mentality za watu kufeel proud(unconsciously) kuhusu magonjwa zipungue.

Ni kweli nami nakiri mtoa mada anafeel proud kuwa na hii ugonjwa bila kujijua kwamba anafeel proud.
 
Ni heri usinge comment kama unaona umekwazika Na hii thread hakuna enjoyment au happiness yoyote kwenye kuumwa
 
Mbona waZee wengi wanatumia sana na haiwaletei shida mmoja wapo ni mzee wangu ?
 
As if una evidence Mkuuu.... try to be wise
 
The problem is your thinking
 
Unatumia zote mbili stetho na Sphygmanometer .

Stetho kwa ajili ya kuweka kwenye brachial artery kukusaidia ku auscultate kujua pigo la juu na la chini zaidi ila inayopima na kutoka majibu ni sphygmanometer.
 
Pole sana mkuu
 
Hiyo mbona ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…