daah asante mkuu napenda kutumia redbul nikiwa naendesha gari safari ndefu sasa hapa unanitisha tenaUna kitu ulikula (wanaita Electrolyte) ndio kimeleta changamoto
Mfano redbull,baadhi ya pain killers,caffeine zozote,etc....ni kama allergy hivi.....usile or drink these shits
Maisha yako yote yaliyobakia hapa dunianiNsitumie ivyo vitu Kwa Muda gani
nakushauri mkuu,NEVER touch that shit again......Pop
daah asante mkuu napenda kutumia redbul nikiwa naendesha gari safari ndefu sasa hapa unanitisha tena
Kata huo uzito,hii tayari ni moja ya chanzo kikuu,hapo sio uzito tu,hata cholesterol yako pia itakua sio nzuri,vingine ni hasira,vinyongo,visasi,kutokusamehe,pombe,matumizi ya chumvi n.k.,kama uko serious ukiachana na yote hayo utakua salama kabisa,kinyume chake ni kuwa mtumwa wa madawa....Nna 89 kgs
Anatumia vikombe vingapi kwa siku na kila kikombe anaweka vijiko vingapi? Pia anatumia aina gani ya kahawa? Je ni zile nyepesi au strong? Unajua Tanzania hatunywi first grade coffee? Pata first grade au second unywe vikombe vinne kwa siku halafu njoo tuhadithiane hapa.Mbona waZee wengi wanatumia sana na haiwaletei shida mmoja wapo ni mzee wangu ?
SawaKata huo uzito,hii tayari ni moja ya chanzo kikuu,hapo sio uzito tu,hata cholesterol yako pia itakua sio nzuri,vingine ni hasira,vinyongo,visasi,kutokusamehe,pombe,matumizi ya chumvi n.k.,kama uko serious ukiachana na yote hayo utakua salama kabisa,kinyume chake ni kuwa mtumwa wa madawa....
Heeee Yan nsile vitamu Maisha yangu Yote ππππππpagumuuu mbonaMaisha yako yote yaliyobakia hapa duniani
I do that myself
I struggle with nyama
nakushauri mkuu,NEVER touch that shit again......
when u reach your 40s it will catch up with you,its the matter of time!
Kweli maaana nashangaa watu wanasema normal wakati Mimi nlikua nahisi kukata moto.... usually Hua 120's and nna 28yearsWakuu ningeomba mtueleweshe kidogo back benchers,
Hivi hiyo ratio eg 140 kwa 89 inamaanisha nini,
Na normally pressure inapaswa kuwa kwenye ratio ipi kwa kuzingatia nini?
Umri au uzito ?
Presha ya kupanda ni mbaya sana inasababisha moyo kutanuka,pia kupoteza maisha ni kugusa,pia inasababisha na kisukari,Kuna dawa inaitwa ag broc nimeona imewasaidia watu weng ina sababisha presha iwe normal kama upo Dar au Mwanza nitakuelekeza uinunue,pole kwa changamotoHabari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Mkuu unafeel proud hata mimi nimeona.The problem is your thinking
Utaacha tu,we subiri upate moto kwanzaHeeee Yan nsile vitamu Maisha yangu Yote ππππππpagumuuu mbona
Nitafanya hivyo kiongozi. Shukran sana.Kama unapenda mazoezi, wik end amka nae mdogo mdogo mpaka atazoea, mimi muumini sana wa mazoezi kuliko kuuzoesha mwili na madawa.
Kwa huyu shemeji yako ikifika level hiyo huwa anatokea na jasho kwenye viganja na nyayo huwa zinatoa sana jasho.Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?
Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
Alipimwa na manual kiongozi. Leo anarudi tena hospital ku-check mkuu.Alipimwa na manual BP au automatic BP?
Je alirudia tena kupimwa ?
Je kipindi anapimwa na kukitwa na hiyo presha alikuwa katika hali gani?
Sio mara moja anapimwa na kukutwa na hiyo presha, kama ulikuwepo wakati anapimwa sawa.Umedanganywa au usikute huyo mkeo kiazi , kaambiwa 140/80 akachanganya madesa.
Fresh mzee baba...!Mwambie apunguze mawazo na apunguze matumizi ya chumvi haswa chumvi ambayo haijaungwa.
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈPresha yenyewe inatokana na Nini haswa?
Au Ni ishu za mapenzi
Je wewe ni tabibu?Meza na vidonge vya Oestocare kubalance presha.
Hapana aisee hashiriki vikoba wala hana boyfriend mkuu.Muulize vizuri isije ikawa vikoba au boi friend anamsumbua.
π ππ