Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Pop
Una kitu ulikula (wanaita Electrolyte) ndio kimeleta changamoto

Mfano redbull,baadhi ya pain killers,caffeine zozote,etc....ni kama allergy hivi.....usile or drink these shits
daah asante mkuu napenda kutumia redbul nikiwa naendesha gari safari ndefu sasa hapa unanitisha tena
 
Pop

daah asante mkuu napenda kutumia redbul nikiwa naendesha gari safari ndefu sasa hapa unanitisha tena
nakushauri mkuu,NEVER touch that shit again......

when u reach your 40s it will catch up with you,its the matter of time!
 
Nna 89 kgs
Kata huo uzito,hii tayari ni moja ya chanzo kikuu,hapo sio uzito tu,hata cholesterol yako pia itakua sio nzuri,vingine ni hasira,vinyongo,visasi,kutokusamehe,pombe,matumizi ya chumvi n.k.,kama uko serious ukiachana na yote hayo utakua salama kabisa,kinyume chake ni kuwa mtumwa wa madawa....
 
Wakuu ningeomba mtueleweshe kidogo back benchers,
Hivi hiyo ratio eg 140 kwa 89 inamaanisha nini,
Na normally pressure inapaswa kuwa kwenye ratio ipi kwa kuzingatia nini?
Umri au uzito ?
 
Mbona waZee wengi wanatumia sana na haiwaletei shida mmoja wapo ni mzee wangu ?
Anatumia vikombe vingapi kwa siku na kila kikombe anaweka vijiko vingapi? Pia anatumia aina gani ya kahawa? Je ni zile nyepesi au strong? Unajua Tanzania hatunywi first grade coffee? Pata first grade au second unywe vikombe vinne kwa siku halafu njoo tuhadithiane hapa.
IMG_20240510_190718_544.jpg
 
Kata huo uzito,hii tayari ni moja ya chanzo kikuu,hapo sio uzito tu,hata cholesterol yako pia itakua sio nzuri,vingine ni hasira,vinyongo,visasi,kutokusamehe,pombe,matumizi ya chumvi n.k.,kama uko serious ukiachana na yote hayo utakua salama kabisa,kinyume chake ni kuwa mtumwa wa madawa....
Sawa
 
nakushauri mkuu,NEVER touch that shit again......

when u reach your 40s it will catch up with you,its the matter of time!
Wakuu ningeomba mtueleweshe kidogo back benchers,
Hivi hiyo ratio eg 140 kwa 89 inamaanisha nini,
Na normally pressure inapaswa kuwa kwenye ratio ipi kwa kuzingatia nini?
Umri au uzito ?
Kweli maaana nashangaa watu wanasema normal wakati Mimi nlikua nahisi kukata moto.... usually Hua 120's and nna 28years
 
Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Presha ya kupanda ni mbaya sana inasababisha moyo kutanuka,pia kupoteza maisha ni kugusa,pia inasababisha na kisukari,Kuna dawa inaitwa ag broc nimeona imewasaidia watu weng ina sababisha presha iwe normal kama upo Dar au Mwanza nitakuelekeza uinunue,pole kwa changamoto
 
The problem is your thinking
Mkuu unafeel proud hata mimi nimeona.

Kuna maswali nimekuuliza huko juu lakini sadly kama haujayaona ni maswali seriusly kwa mtu anayetaka kupona.

Okay kila mtu afanye lake maisha. Yaendelee😀😀
 
Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?

Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
Kwa huyu shemeji yako ikifika level hiyo huwa anatokea na jasho kwenye viganja na nyayo huwa zinatoa sana jasho.

Ila huwa anaishiwa nguvu mpaka anatetemeka pia mwili huwa anaskia sana joto hata kama kuna baridi atahitaji kuoga maji ya baridi mkuu.
 
Alipimwa na manual BP au automatic BP?

Je alirudia tena kupimwa ?

Je kipindi anapimwa na kukitwa na hiyo presha alikuwa katika hali gani?
Alipimwa na manual kiongozi. Leo anarudi tena hospital ku-check mkuu.

Mwili alikuwa anaskia joto na alikuwa anatoka sana jasho viganjani na kwenye nyayo.
 
Meza na vidonge vya Oestocare kubalance presha.
Je wewe ni tabibu?

Inashauriwa linapokuja swala la afya, ni vyema kufika hospiali nakufuata ushauri wa Dakari kwa dawa sahihi ya kutumia, Na sio matumizi holela ya dawa ither kwa kupaa majina ya dawa kwenye mitandao ya kijamii au kuambia na mtu asiye na taaluma staahiki ya utabibu.
 
Back
Top Bottom